Kipstech Member Joined Feb 15, 2012 Posts 38 Reaction score 22 Jan 20, 2013 #1 Chizi alikuwa anatembea, akaona kitu kama kinyesi. Akainama akagusa na kidole kisha akalamba akasema "waa, ni mavi kweli! THANK GOD SIKUKANYAGA!!!''
Chizi alikuwa anatembea, akaona kitu kama kinyesi. Akainama akagusa na kidole kisha akalamba akasema "waa, ni mavi kweli! THANK GOD SIKUKANYAGA!!!''
N Nique M Member Joined Dec 2, 2012 Posts 17 Reaction score 1 Jan 22, 2013 #3 hahahaaa,kwel huyu kazidi.
allantence JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 355 Reaction score 303 Jan 22, 2013 #4 mnaniua kwa kwel
Double K JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 907 Reaction score 343 Jan 22, 2013 #5 huyu kweli ni hamnazo kabisaaaaaaaaa
Mkiliman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 984 Reaction score 345 Jan 22, 2013 #6 Kipstech said: Chizi alikuwa anatembea, akaona kitu kama kinyesi. Akainama akagusa na kidole kisha akalamba akasema "waa, ni mavi kweli! THANK GOD SIKUKANYAGA!!!'' Click to expand... heeeeheeeheee....mpelekeni milembe huyo, otherwise atakuwa fully reckoned chizi.
Kipstech said: Chizi alikuwa anatembea, akaona kitu kama kinyesi. Akainama akagusa na kidole kisha akalamba akasema "waa, ni mavi kweli! THANK GOD SIKUKANYAGA!!!'' Click to expand... heeeeheeeheee....mpelekeni milembe huyo, otherwise atakuwa fully reckoned chizi.