LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

WEKKI

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
477
Reaction score
146
Naomba kujua utofauti na ubora wa kozi za sheria kwa LLB ya UDSM na Tumaini Mkumira kwa ubora, soko ajira na ukubalikaji wake..
 
Mtataka sana kuifananisha elimu ya UDSM na mivyuo yenu mingine mliyoisoma /mtakao kwenda kusoma e.t.c
Lakini toka miaka yetu hata sasa UDSM itabaki kuwa chuo chenye hadhi kubwa. Kwenye ajira vyuo vinaangaliwa sana. Ambao wanafanya job selection watakuambia
Tuliosoma UDSM na wadogo zetu wanaoendelea kusoma hapo tutabaki kuwa tofauti. ..kwenye ajira tunauzika
 
Udsm unaifananishaje na SHULE za Kata????
Achen kufananisha law ya Udsm na vitu vya kijinga
Mtataka sana kuifananisha elimu ya UDSM na mivyuo yenu mingine mliyoisoma /mtakao kwenda kusoma e.t.c
Lakini toka miaka yetu hata sasa UDSM itabaki kuwa chuo chenye hadhi kubwa. Kwenye ajira vyuo vinaangaliwa sana. Ambao wanafanya job selection watakuambia
Tuliosoma UDSM na wadogo zetu wanaoendelea kusoma hapo tutabaki kuwa tofauti. ..kwenye ajira tunauzika

Haya mnawasikia. Tufunge vyuo vyote tubakize UDSM-TCU mpo?
 
Naomba kujua utofauti na ubora wa kozi za sheria kwa LLB ya UDSM na Tumaini Mkumira kwa ubora, soko ajira na ukubalikaji wake..
Hivi mlima (udsm) na kichuguu (vyuo vya mchangani) kikubwa ni kipi?
 
Naomba kujua utofauti na ubora wa kozi za sheria kwa LLB ya UDSM na Tumaini Mkumira kwa ubora, soko ajira na ukubalikaji wake..
Acha kufananisha UDSM na vitu vya kipumbavu
 
Jina la Chuo tu but lack of competence UDSM Is nothing you find the graduate doesn't know even to express himself /herself competence is what is needed so UDSM watch out
hahahaha mkuu unawaabisha wakoloni wetu
 
Mmmmh basi kama ni hivyo wangepata ajira wa UDSM tu ni kwasababu ya ukongwe wa chuo tu ila waliotoka vyuo vingine wako juu kushinda wa UDSM so ni ukongwe tu
 
hahahaha mkuu unawaabisha wakoloni wetu
bwana mdogo nimewahi kukutana na walimu wa field wa advance ni matabralaza wa kiwango cha PHD.

its was just pathetic to see those morons speaking such awkwardly... kiingereza hawajui, kufundisha hawajui...

kiukweli naipenda sana UDSM ila ninashangazwa na intake ya vilaza waliomo mule.
 
Back
Top Bottom