Llb programme open university of Tanzania.

nyamima

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
211
73
Msaada kwa mwenye ufaham kuhusu course tajwa hapo juu.. kuanzia qualification za kuingia, muda wa kusoma ni miaka mingap,na ada zipoje? msaada tafadhali.
 
Hiyo distanc learning inakuaje unaudhuria nin na nin au mitihani tu?
kuna online learning programme inaitwa moodle, kule kuna matrials, assignments na unaweza uliza maswali kwa walimu na wanafunzi wenzako kama umesoma kitu na huku kielewa, ina hitaji commitment
 
Fafanua tu zote mbili ili tuelewe vzr.
executive ni ghali kidogo kuliko distance learning, executive programme kuna ratiba ya vipindi ambavyo mnakuwa mnasoma, ila distance learning unasoma tu mtandaoni kuna materials yanatolewa, lecture zake ni online
 
Back
Top Bottom