Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Ngoja ni-log off, mi nilidhani issue hi ya kweli kaka, nilianza hadi kukuonea huruma kabisa na i went further, nikaanza kumchukia kabisa mkeo na wanawake wote kwa ujumla wake, umenifanya nitende dhambi ya bure kabisa, Please nitake radhi Mentor, vinginevyo mara baada ya wewe kuoa tu, lazima nimtafute mkeo. Joke