Waswahili yatuuafika stage hiiMkuu ushauri mzuri sana huu wa kutokua na maugomvi na mashindano. I just think if Wasafi wants to keep him ,then walimpe vizuri, 10-20% ya mapato yote ya nyimbo aliyotengeneza ingependeza wamlipe, instead of mshahara. Anyway sijui haya mambo ya Music,especially kujua haki za wasanii,producer or label , ila inaelekea kuna mambo mengi ndani ya carpet.
Acheni uongo na kuabudu watu, eti Diamond anakipa watu vizuri mbina maisga yak wanitoka hapo hayaekeweki?Mkuu ukifatilia mziki wa bongo , producer si chochote ndo mana lamar anauza ubwabwa na kuosha magari, master J naye haelewek akina makochali hao , Wataalam kama PFunk , Tuddy hawasomeki man water analia lia tuu....
Tatizo linakuja Diamond anathamin Sana wafanya kaz wake ndo mana inafkia hatua watu tusiojua tunahsi huenda wananyonywa ,....
Producer unalipwa Laki moja na msanii, msanii mkubwa ambao ni wachache anakulipa 500K au 1Million per beat, diamond anatoa mpak 5Million, ...juzi S2Kizz kapost gar producer mwenzako kamkatalia kuwa hawez kununua gari ya vile Kwa hela ya production may be ana mishe zingine au Diamond kamtunuku tuu....somtyme wanafikia hatua ya kuimba tuu sasa na wao....mziki wa Tanzania bado ni mchangao
kuendana na haki za maproducer kama ilivyo nje ....
Diamond anajitahdi Sana kiukwel kuwalipa vizur mi siombei Laizer atoke WCB ajijenge Tu pale pale kuna maproducer wakubwa Tu wanataman nafas yake hapo..... Soko halipo fair na kuligeuza ni kazi kwel kwel
Jeje beat kanyonga "KP Vibes" wa Nigeria... Acha uongoDiamond anamletea mabiti ya mfukoni.
Utasikia nataka Beat kama la Joro ya Wizkid.
Beat linachukuliwa unaimbwaibwa ujinga humi, wimbo unaitwa Jeje.
Na kwakuwa media ipo, social media zipo hata kama hutaki utasikiliza tu ngoma zetu.
Ndio maana muziki wa bongo umekuwa takataka kabisa
Unajua si Mara ya Kwanza kukuambia hiv au umesahau?Asante rafiki, nafurahi namna unavyoniona..... na inanipa nguvu ya kujua labda “ni kweli” 😀😀
Mbona hawamwambii Millard Ayo aanzishe "Clouds" yake🤷♂️
Jamaa anaongea uongo wa wazi kabisaJeje beat kanyonga "KP Vibes" wa Nigeria... Acha uongo
Waswahili yatuuafika stage hii
Acheni uongo na kuabudu watu, eti Diamond anakipa watu vizuri mbina maisga yak wanitoka hapo hayaekeweki?
Unabwabwaja jwa ujasiri utafikiri unaonaga salary slip za hao wafanyakazi waje
Kel p vibesJeje beat kanyonga "KP Vibes" wa Nigeria... Acha uongo
Mzee hebu soma ulichoandika kwanza[emoji119][emoji16]Waswahili yatuuafika stage hii
Acheni uongo na kuabudu watu, eti Diamond anakipa watu vizuri mbina maisga yak wanitoka hapo hayaekeweki?
Unabwabwaja jwa ujasiri utafikiri unaonaga salary slip za hao wafanyakazi waje
Kwani lini nyimbo za Bongo ziliwahi kuwa dhahabu labda?Diamond anamletea mabiti ya mfukoni.
Utasikia nataka Beat kama la Joro ya Wizkid.
Beat linachukuliwa unaimbwaibwa ujinga humi, wimbo unaitwa Jeje.
Na kwakuwa media ipo, social media zipo hata kama hutaki utasikiliza tu ngoma zetu.
Ndio maana muziki wa bongo umekuwa takataka kabisa
[emoji23][emoji23]
Unamjua P funk majani, Master J au umezaliwa mwaka 2000.Kwani lini nyimbo za Bongo ziliwahi kuwa dhahabu labda?
Wabongo kitu pekee tunachoweza kukifanya kwa ufasaha kabisa ni kupondana
Ninapo sema hakuna maproducers waliodumu mda mrefu sikumaanisha hawadumu wanakufa...........nilimaanisha wanaodumu kwenye gameUnamjua P funk majani, Master J au umezaliwa mwaka 2000.
Wazee wa nyimbo za views
Challenge muhimu Mkuu ila siyo una ingia ulingoni kwa kukurupuka kwa kuwa una jina , muhimu uwe na mikakati thabit, Lizer ni producer mzuri ila siyo the best kuliko wote bongo kinacho fanya anukie ni ilo uwaridi pembeni yake
Siyo uwoga MkuuWacha uoga. Huyo aliyemwajiri alithubutu kwa kurisk kidogo alichopata ili apate kikubwa. Hapa ni talent, mtaji na uthubu tu baassi
Labda sikueleweka vizuri Mkuuyaaah labda ivyo ila mzee, nilichokuwa napinga mimi ni namna ulivyopresent ulichokisema ni kama utaka kusema jamaa mlango wa WCB ukifunga hana code ya mlango mwingine, kwenye hilo ndio huwa siamini sababu kuna namna ambayo Mungu huwa anajua kuyaweka mambo level kwa watu wake sababu anajua leo na kesho.
Naomben kuuliza hv ni producer gan alitengeneza beat ya benpol moyo mashine pale kati kuna mlio mmoja hatar sn kuna siku nilikuta bar namwaga mauno baa nzima iliinuka kila mtu na wake aisee ile beat sitaosahauHello dear.
i just think its time to move on, leave Wasafi.
Fungua kampuni yako binafsi,
Wasanii wawe Free kuja kwako,uwatengenezee nyimbo zao.
Awe Diamond,Harmonize au msanii yeyote.
Ila malipo,yawe per nyimbo.
Na sio kwa mwezi tena,
Its scary to gamble especially kama upo kwenye comfort zone ya kulipwa mshahara kila mwezi.
But trust me, you have got a lot of potential. Plus ushajijengea jina tayari,hutakosa kazi.
Tumia talent yako uliyopewa na mwenyezi Mungu fully.
Thanks.