Ndugu
Lizaboni popote ulipo tafadhali njoo huku JF. Tumezimisi jumbe zako na michamgo mbalimbali uliyokuwa unaitoa- hasa jukwaa la Siasa. Nakumbuka wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana, jinsi ulivyokuwa unamwaga nondo za ukweli. Je, uko wapi ndugu yetu au umebadilisha ID?