nani kakwambia hr manager na project manager wanaweza kuchukua $200m za benki kuu peke yao, uongo uliokubuu...
.....kwa hiyo hela ALICHUKUA,AU HAKUCHUKUA?au yeye alichukua kidogo za kutumia na dada zako?na hizo zingine ZIMEENDA WAPI?jaribu kujustfy hata kwa suspuscious theories!pesa ya EPA walau watu 'wanahisi' ilikwenda wapi,na wewe tuambie sasa!......isitoshe liyumba ametumia hizo hela na madada zetu...
siwezi kuamini hata siku moja liyumba na kweka wamechukua $200m, nina imani kabisa zaidi ya $150m zimechukuliwa na serikali(ccm)
hilo ni goli la kwanza la ushindi wa mawakili wa utetezi.Hakimu Lema amekubaliana na upande wa utetezi kuwa kweli hati ya mashtaka ina makosa na kwa maana hiyo imefutwa so inasubiriwa hati mpya toka upande wa mashtaka.
Watabaki chini ya ulinzi wa kova hadi iletwe hati mpya.
hao hao tumewasomesha kwa kodi zetu mpaka majuu huko kila angle ya dunia imradi wapate elimu kumbe wanaenda kutalii na kuzunguka zunguka na kupiga misere miingi kwenye majiji ya watu utendaji kazi ni wa kimazoea tu yaani tunakazi.
Kwa kweli sitaki kuamini kile ambacho kimekuwa kikinikereketa siku zote kuwa Mahakama zetu, mahabusu zetu na magereza zetu ni kwa ajili ya walalahoi na si vigogo.
Mseminari Liyumba ameachiwa huru punde na mahakama baada ya kujiridhisha kuwa charge waliyoileta mahakamani ni batili, lakini punde vijana wa Hosea wameshamchukua Liyumba na sasa hivi yuko PCCB Makao Makuu...
Wajuzi wa mambo nendeni Kisutu na ktk makorido tupatieni latest
Wamesharudishwa mahakamani kusomewa hati mpya sijui mashtaka yatakuwa yale yale?
Hawa ni hao hao waliosomea hapa nyumbani ... mliowapeleka huko majuu kwani walirudi ... si walishajilipua! kalaghabao .... lol!!
Wamesharudishwa mahakamani kusomewa hati mpya sijui mashtaka yatakuwa yale yale?
hao hao tumewasomesha kwa kodi zetu mpaka majuu huko kila angle ya dunia imradi wapate elimu kumbe wanaenda kutalii na kuzunguka zunguka na kupiga misere miingi kwenye majiji ya watu utendaji kazi ni wa kimazoea tu yaani tunakazi.
...........wakati wa rada, kelele zikapigwa ni ya kijeshi na haina maslahi kwa taifa. serikali ilitia pamba masikioni. leo rada haifanyi kazi, pesa zimeliwa na taifa limekula hasara...................,.
Ndege ya rais watu wamepiga kelele, Bwana Mapesa, John Cheyo akatoa mpaka ushahidi wa website gharama ya ndege ni nusu ya bei tunayotaka kuuziwa. Serikali ilitia pamba masikioni na kuendeleza manunuzi, ajenti ni huyo huyo Vithlani na Somaiya wake....,.
Hahaha, unajua kuna ukweli ukiufikiria unaudhika sana? Same applies here mkuu. Pasco anaamsha kidonda naonaLOL!this is so IRRITATIVE
Bw. AL asipewe useminari ikiwa yeye hajawi kuwa mseminari, hofu yangu kubwa ni kuwa anapewa utukufu asiostahili.At times mimi nachoka kabisa na mambo yanavyokwenda hii nchi.
Kila kukicha nachanganyikiwa na habari zinazokuja. Vitu vinakuwa ndivyo sivyo.
So hao pccb hawana wataalamu wa sheria...
Thanks for the habari wenye dataz zaidi wazimwage
Hahaha, unajua kuna ukweli ukiufikiria unaudhika sana? Same applies here mkuu. Pasco anaamsha kidonda naona
hivi sheria inasemaje walalamikaji wanapokosea hati ya mashtaka???mseminari liyumba ameachiwa huru punde na mahakama baada ya kujiridhisha kuwa charge waliyoileta mahakamani ni batili, lakini punde vijana wa hosea wameshamchukua liyumba na sasa hivi yuko pccb makao makuu...
Wajuzi wa mambo nendeni kisutu na ktk makorido tupatieni latest
.Nakupenda kwa moyo wote.... nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana.Nilalapo nakuota wewe niamkapo ni heri mama wee.Tanza..nia Tanzania.............................Alipokamatwa nilisema there was a 'fault charge sheet ab initio' yaani kosa la msingi katika kuandaa shitaka hili tangu mwanzo. Kitu muhimu kwangu sio Liyumba kuwa is clean, bali haki zao za msingi kwenye kosa wanaloshitakiwa nalo ambalo sio kosa kweli.
Niliposema hayo, nilishutumiwa sana na kuitwa fisadi. Niliyoyasema sasa yanaanza kutimia, bado kina Mramba pia kesi itatupwa!.
Kwa kina Liyumba ilihitaji tuu simple logic, majengo pacha yalipitishiwa budget ya awali kugharimu bilioni 90. Kazi ilipoanza gharama zikaongezeka mpaka zilipofikia.
Walipowashitaki, wamewashitaki kwa gharama zote tangu mwanzo na sio zile za zida tuu.
Nikasema, angetokea mwanasheria makini, akatafuta hizo fedha zote za thamani ya majengo pacha, serikali ikarudishiwa na majengo pacha yakageuka mali ya Liyumba!.
Kosa la msingi ni kuwashitaki wakina Liyumba kusababisha hasara ya thamani ya kazi iliyofanyika na majengo yanaonekana, huku madai yakionyesha yote ni haswara tupu as if hakuna kilichofanyika.
Usahihi wa madai ya serikali ungekuwa kama ifuatavyo.
1. Kwanza angetafutwa mthamini kuyathamini hayo majengo yametua gharama halisi za kiasi gani.
2. Baada ya kupata gharama halisi, unatoa zile gharama zilizolipiwa.
3. Tofauti ya gharama halisi na kilicholipiwa ndio hasara/10% ama ulaji.
Kesi inge-base hapo angalau ingekuwa kesi ya ukweli.
Na wakiachiwa kama wakili wao mzuri, waifungulia serikali kesi na wanalipwa fidia.
Nilisema PCCB wana kiherehere cha kufungua kesi kwa papara ili kurudisha imani ya wananchi kwa serikali yao ambayo ilishuka sana.
Hii serikali yetu ni ya ajabu sana, wakati wa rada, kelele zikapigwa ni ya kijeshi na haina maslahi kwa taifa. serikali ilitia pamba masikioni. leo rada haifanyi kazi, pesa zimeliwa na taifa limekula hasara.
Hata huko kumtafuta Vithlani sio kwa kesi ya bei ya rada ambayo tumelizwa, bali kwa kutosema ukweli kwa PCCB.
Ndege ya rais watu wamepiga kelele, Bwana Mapesa, John Cheyo akatoa mpaka ushahidi wa website gharama ya ndege ni nusu ya bei tunayotaka kuuziwa. Serikali ilitia pamba masikioni na kuendeleza manunuzi, ajenti ni huyo huyo Vithlani na Somaiya wake.
Deal ya rada imebumbuluka kwa sababu BAE shirika la serikali na walioibumbulua ni waingereza wenyewe kupitia SFO. Ya Gulf Sream ni kimya...ulaji wa kiulaini.
"Hii ndio Tanzania yetu, Kikwete Rais Wetu na CCM Chama Chetu''.
Tanza..nia.. Tanzania...,.