J Joack Member Joined Jul 2, 2012 Posts 31 Reaction score 7 Apr 28, 2014 #1 Hello wadau, Naomba mnisaidie maana ya neno 'LIWA' ni chemical au mmea au kitu gani, Nitashukuru kwa msaada wenu. Joack
Hello wadau, Naomba mnisaidie maana ya neno 'LIWA' ni chemical au mmea au kitu gani, Nitashukuru kwa msaada wenu. Joack
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,805 Reaction score 16,838 Apr 28, 2014 #2 maana yake ni tatualiwa kama njeo daraja la 10 b kwa mfano kaka yule katatuliwa rinda.
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Apr 29, 2014 #3 masai dada said: maana yake ni tatualiwa kama njeo daraja la 10 b kwa mfano kaka yule katatuliwa rinda. Click to expand... Haloo wewe mtaalam sana wa lugha, nimekusalimu.
masai dada said: maana yake ni tatualiwa kama njeo daraja la 10 b kwa mfano kaka yule katatuliwa rinda. Click to expand... Haloo wewe mtaalam sana wa lugha, nimekusalimu.
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,805 Reaction score 16,838 Apr 29, 2014 #4 Skype said: Haloo wewe mtaalam sana wa lugha, nimekusalimu. Click to expand... haahahhah chezea njeo
S sindo Senior Member Joined Jul 20, 2011 Posts 133 Reaction score 44 Apr 29, 2014 #5 liwa, inatokana na mti wa Sandalwood, Inasagwa na kuwa laini sana inatumika kama scrub Ni nzuri, haina chemical ni pure mti,
liwa, inatokana na mti wa Sandalwood, Inasagwa na kuwa laini sana inatumika kama scrub Ni nzuri, haina chemical ni pure mti,
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Apr 29, 2014 #6 masai dada said: haahahhah chezea njeo Click to expand... Yani hata njeo sijui ni kifaa gani na kinatumika wapi ndo maana nimebaki na bonge la mshangao.
masai dada said: haahahhah chezea njeo Click to expand... Yani hata njeo sijui ni kifaa gani na kinatumika wapi ndo maana nimebaki na bonge la mshangao.
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,805 Reaction score 16,838 Apr 29, 2014 #7 Skype said: Yani hata njeo sijui ni kifaa gani na kinatumika wapi ndo maana nimebaki na bonge la mshangao. Click to expand... ahaahah mi mwenyewe nimemkumbuka mwalim wa kiswahili ila sidhan kama hapo ndo mahala pake
Skype said: Yani hata njeo sijui ni kifaa gani na kinatumika wapi ndo maana nimebaki na bonge la mshangao. Click to expand... ahaahah mi mwenyewe nimemkumbuka mwalim wa kiswahili ila sidhan kama hapo ndo mahala pake
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Apr 29, 2014 #8 masai dada said: ahaahah mi mwenyewe nimemkumbuka mwalim wa kiswahili ila sidhan kama hapo ndo mahala pake Click to expand... sawa mkuu wacha nipite tu.
masai dada said: ahaahah mi mwenyewe nimemkumbuka mwalim wa kiswahili ila sidhan kama hapo ndo mahala pake Click to expand... sawa mkuu wacha nipite tu.
J Joack Member Joined Jul 2, 2012 Posts 31 Reaction score 7 Apr 29, 2014 Thread starter #9 Asante, ila nilikuwa nataka kujua katika maana ya product ya mmea sio neno kama kiunganishi. Hope nitasaidiwa.
Asante, ila nilikuwa nataka kujua katika maana ya product ya mmea sio neno kama kiunganishi. Hope nitasaidiwa.
J Joack Member Joined Jul 2, 2012 Posts 31 Reaction score 7 Apr 29, 2014 Thread starter #10 sindo said: liwa, inatokana na mti wa Sandalwood, Inasagwa na kuwa laini sana inatumika kama scrub Ni nzuri, haina chemical ni pure mti, Click to expand... Asante sana mdau , I real appreciate it!
sindo said: liwa, inatokana na mti wa Sandalwood, Inasagwa na kuwa laini sana inatumika kama scrub Ni nzuri, haina chemical ni pure mti, Click to expand... Asante sana mdau , I real appreciate it!