Mkuu mimi hata Sijaelewa hawa Jamaa wanajibizana nini, hoja kasema lusinde......mwingine anasema anawasumbua hapo ufipa........Ngoja niendelee kusoma maana ulivyowapa Ukweli wanaweza kubadili muelekeo.Akili za mjinga huwaza ujinga Lusinde ni mbunge wa CDM?
Ndio maana kwangu kila nikiwaza siasa hasa za Tanzania nakumbuka tume ya mzee Warioba na rasimu yake. Hii ni kwa sababu alishaliona kuwa siasa ni ujasiliamali kwa 98% na rasimu yake ilitaka kupunguza huu ujasiliamali angalau mpaka 30% kutoka hiyo 98% kitu ambacho kingelisaidia taifa!Ndo utajua wanasiasa wanawaza nini vichwani mwao.
Siasa Ni ujasiliamali tu kama ujasiliamali mwingine, watu wanawaza kupiga pesa tu.
Kutegemea eti chama fulani kinapigania ustawi wa raia ni kujipumbaza tu.
Le Mutuz wa mabeebbbzzz????:shocked::shocked::shocked:Katika wabunge ccm waliobugi ni lusinde, jamaa mweupe kabisa mbona deo sanga si msomi lakini ana akili na kafanya makubwa makambako , huyu lusinde hakuna alichofanya Mtera, Tutampigia kampeni LE MUTUZ alichukue hilo jimbo, Lusinde ana mambo ya kitoto sana
Sasa angetaka amsifie ZZK kuhamia ACT? He is quite right, CCM na ACT ni Vitu viwili tofauti.
Kwa hiyo hoja za Lusinde kwa sasa mnaziona zina maana.
Kila siku mlikuwa mnasema hana hoja, leo kwa vile ameongea hoja inayokoleza matamanio yenu, kwa sasa anaheshimika.
Naona kwa sasa mnakosa mpaka usingizi hapo Ufipa.
Shughulikeni na maisha yenu ya kisiasa hapo Ufipa.
Maisha na Siasa za Zitto mwachieni Zitto.
Mkuu ocampo four ni kweli jamaa ni darasa la saba?