Livingston Lusinde amkejeli Zitto

Livingston Lusinde amkejeli Zitto

Katika wabunge ccm waliobugi ni lusinde, jamaa mweupe kabisa mbona deo sanga si msomi lakini ana akili na kafanya makubwa makambako , huyu lusinde hakuna alichofanya Mtera, Tutampigia kampeni LE MUTUZ alichukue hilo jimbo, Lusinde ana mambo ya kitoto sana

Lusinde ni matusi tu na sielewi elimu yake iko vipi huyu jamaa maana haoni hata aibu mbele za watu
 
Wewe nadhani umeandika ukiwa usingizini. Tazama umekuwa wa pili kuchangia hii thread, sasa umemjibu nani? Maana sioni hoja iliyokutangulia ikisema Lusinde ni wa maana. Mbaya zaidi unasema masuala ya ufipa, ulikuwa ukimjibu nani? tafakari kijana kabla ya kufanya jambo lolote sivyo unadhihirisha ukilaza wako.

Mkuu msamehe bure maana ccm sasa wamechanganyikiwa mbaya juu ya speed ya cdm
 
Lusinde sio chizi ila nimegundua kua anayoyafanya hua anafanya kwa makusudi. Kibajaj amemsih vzr sana Zzk

Lusinde siyo chizi bali uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo sana kutokana na elimu yake
 
kuna hii pia kamshukia Laigwanani kinoma
[h=5]Livingstone Lusinde
[/h]saa11




cho kinaonesha kuwa kuna mpango unafanywa na mtu huyo kuwahadaa Watanzania kuwa wamekuja wenyewe kumbe siyo.



Pili nipende kuwashauri wanavyuo wa Dodoma waache kujidhalilisha kwa kiasi hicho walichojidhalilisha leo na kuvivua nguo vyuo watokavyo hapa mjini Dodoma, mnaacha kusoma na kujikita kwenye utafiti mnatumiwa kwenda kuvuruga mchakato wa taasisi yetu. poleni sana kumbe kusoma sio kuelimika, bora hata mimi mtot niliyeachwa yatima toka nikiwa na miaka 4 nikashindwa kupata elimu kwa sababu ya mazingira magumu ila ninazo akili za kuniongoza na kunionesha jema na baya.
 
Katika wabunge ccm waliobugi ni lusinde, jamaa mweupe kabisa mbona deo sanga si msomi lakini ana akili na kafanya makubwa makambako , huyu lusinde hakuna alichofanya Mtera, Tutampigia kampeni LE MUTUZ alichukue hilo jimbo, Lusinde ana mambo ya kitoto sana

Lusinde ana mambo ya kitoto sana,LE MUTUZ je?
 
kwa wenye muono wachache tushajua zitto is digging his political grave.
hata Kama Ana watu wanam fund lakini tambua kwamba hao ma masters wake IPO siku watachoka hasa baada ya uchaguzi mkuu.
kuendesha chama cha siasa sio lele mama,inaitaj resources za kutosha from grass root level to national .yaani nawambia ACT inakufa baada ya uchaguzi,hapo zzt atakuwa ashamaliza kazi aliyopewa na ccm,uwt he will be a free man,kashaweka pesa kibindoni nani wa kumdai
 
Huyu Lusinde kwa nini hakumshauri mapema ahamie CCM, kwani alivyosikia amefukuzwa cdm si alijua kuwa atahamia Chama kingine? sasahivi hayo maneno aliyosema yamemsaidia nini Zito au yameisaidiaje jamii? wakati mwingine awe anajitahidi kufikiri kidogo.
 
Wana CCM wanajua kucheza na mindset za watu kwelikweli.Siku zote hizo Huyu Lusinde hakujua kama ACT ni chama cha Zitto.? Anapotoka CDM hajui kuwa angeelekea chama gani..

By the way,anajifanya eti hajui Zitto atapata wapi pesa za kuendesha chama. Duuu...kweli Tz safari ya demokrasia isiyo na sarakasi kama hizi tunayo.

Lusinde hajielewi
 
attachment.php
 
lusinde aache kuropoka kuna dogo samweli anakunyemelea hapo mtera,mwaka huu huna chako anza kufungasha virago vyako
 
Mh. Kibajaji Hivi una ugomvi binafsi na Zitto? maana Bungeni ulimkalia kooni kuhusu zile tuhuma za kuvuta fweza za TANAPA, sasa na huku mtaani bado tu umemkomalia kulikoni??

Mwenzio anataka demokrasia ya kweli - na hiyo kwa mtazamo wake haimo ndani ya chama chochote cha siasa kilichosajiriwa kikiwamo hata chama cha kwako!! na ndiyo maana kaamua kusajiri cha kwake na kujiunga nacho !! sasa gogoro nini Mh. Kibajaji??
 
Katika wabunge ccm waliobugi ni lusinde, jamaa mweupe kabisa mbona deo sanga si msomi lakini ana akili na kafanya makubwa makambako , huyu lusinde hakuna alichofanya Mtera, Tutampigia kampeni LE MUTUZ alichukue hilo jimbo, Lusinde ana mambo ya kitoto sana

mkuun le mutuz si atakuja na le mbebez jimboni? yule mzee anaekula bata ndio tegemeo lenu?
 
Kwa hiyo hoja za Lusinde kwa sasa mnaziona zina maana.

Kila siku mlikuwa mnasema hana hoja, leo kwa vile ameongea hoja inayokoleza matamanio yenu, kwa sasa anaheshimika.

Naona kwa sasa mnakosa mpaka usingizi hapo Ufipa.

Shughulikeni na maisha yenu ya kisiasa hapo Ufipa.

Maisha na Siasa za Zitto mwachieni Zitto.

Wewe umeona kuna mtu kamsifia hapo au hujui kusoma
 
Lusinde mnafiki sana! Si angekwenda kumshauli ili ajiunge na CCM a.k Chama Cha Majungu!!?
 
Back
Top Bottom