Katika wabunge ccm waliobugi ni lusinde, jamaa mweupe kabisa mbona deo sanga si msomi lakini ana akili na kafanya makubwa makambako , huyu lusinde hakuna alichofanya Mtera, Tutampigia kampeni LE MUTUZ alichukue hilo jimbo, Lusinde ana mambo ya kitoto sana
hizo ndio sampuli za wabunge wenu....na huo mbadala inadhihirisha uwezo wako wa kufikiri ulipofikia..
ZZK anawasumbua sana CDM maana kila kitu ZZK
Wewe nadhani umeandika ukiwa usingizini. Tazama umekuwa wa pili kuchangia hii thread, sasa umemjibu nani? Maana sioni hoja iliyokutangulia ikisema Lusinde ni wa maana. Mbaya zaidi unasema masuala ya ufipa, ulikuwa ukimjibu nani? tafakari kijana kabla ya kufanya jambo lolote sivyo unadhihirisha ukilaza wako.
Lusinde sio chizi ila nimegundua kua anayoyafanya hua anafanya kwa makusudi. Kibajaj amemsih vzr sana Zzk
[h=5]Livingstone Lusinde
[/h]saa11
cho kinaonesha kuwa kuna mpango unafanywa na mtu huyo kuwahadaa Watanzania kuwa wamekuja wenyewe kumbe siyo.
Pili nipende kuwashauri wanavyuo wa Dodoma waache kujidhalilisha kwa kiasi hicho walichojidhalilisha leo na kuvivua nguo vyuo watokavyo hapa mjini Dodoma, mnaacha kusoma na kujikita kwenye utafiti mnatumiwa kwenda kuvuruga mchakato wa taasisi yetu. poleni sana kumbe kusoma sio kuelimika, bora hata mimi mtot niliyeachwa yatima toka nikiwa na miaka 4 nikashindwa kupata elimu kwa sababu ya mazingira magumu ila ninazo akili za kuniongoza na kunionesha jema na baya.
Katika wabunge ccm waliobugi ni lusinde, jamaa mweupe kabisa mbona deo sanga si msomi lakini ana akili na kafanya makubwa makambako , huyu lusinde hakuna alichofanya Mtera, Tutampigia kampeni LE MUTUZ alichukue hilo jimbo, Lusinde ana mambo ya kitoto sana
Lusinde hana akili hata kidogo..... darasa la saba
Lusinde hana akili hata kidogo..... darasa la saba
Wana CCM wanajua kucheza na mindset za watu kwelikweli.Siku zote hizo Huyu Lusinde hakujua kama ACT ni chama cha Zitto.? Anapotoka CDM hajui kuwa angeelekea chama gani..
By the way,anajifanya eti hajui Zitto atapata wapi pesa za kuendesha chama. Duuu...kweli Tz safari ya demokrasia isiyo na sarakasi kama hizi tunayo.
Katika wabunge ccm waliobugi ni lusinde, jamaa mweupe kabisa mbona deo sanga si msomi lakini ana akili na kafanya makubwa makambako , huyu lusinde hakuna alichofanya Mtera, Tutampigia kampeni LE MUTUZ alichukue hilo jimbo, Lusinde ana mambo ya kitoto sana
Kwa hiyo hoja za Lusinde kwa sasa mnaziona zina maana.
Kila siku mlikuwa mnasema hana hoja, leo kwa vile ameongea hoja inayokoleza matamanio yenu, kwa sasa anaheshimika.
Naona kwa sasa mnakosa mpaka usingizi hapo Ufipa.
Shughulikeni na maisha yenu ya kisiasa hapo Ufipa.
Maisha na Siasa za Zitto mwachieni Zitto.