Living my dream vs Living in dreams

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Pals,
It has just come to my Notice that some of us are not really living our Normal Lives.

How the hell can someone spent over 50% of his monthly income on Rent only.

Buguruni mbona kuna nyumba poa na za bei poa tu?
 
anataka kuishi kwenye nyumba anayotaka. si kwamba hakuziona hizo za bei chee. kupanga ni kuchagua rafiki.
ungeniuliza why the hell mtu anatumia 60% ya mshahara kuchangia harusi hapo ningekua na jibu jingine.
 
Hii kali maze
 
Back
Top Bottom