Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,056
- 1,303
Habari wana JF. Kuna hii TV program ya mahusiano ya wana ndoa na wana ndoa watarajiwa na nimeona kwamba inaweza kutufaa wengi huku JF. Nitakuwa nawawekea video mbalimbali za hivi vipindi na nitaomba mtoe maoni wenu.
Ahsante
Ahsante