Liverpool wastaafisha jezi ya Diogo Jota

Liverpool wastaafisha jezi ya Diogo Jota

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Baada ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota kupata ajali leo asubuhi na kufariki dunia, klabu hiyo imeistahafisha jezi namba 20 iliyokuwa inavaliwa na nyota huyo raia wa Ureno.

Soma,Pia: Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari

Jota alipata ajali hiyo leo alipkuwa nchini Hispania na amefariki akiwa na mdogo wake walipokuwa pamoja ndani ya gari dogo.

Mwandishi nguli wa Habari za Michezo kutoka nchini Italia Fabrizio Romano amethibitisha taarifa hizo kwa kuandika katika ukurasa wake wa Instagram.
1751572224559.png
 
Back
Top Bottom