Liverpool vs Man U - Barclays EPL Sunday 23rd September 2012

Liverpool vs Man U - Barclays EPL Sunday 23rd September 2012

Naona Man wanajiandaa kufanya mabadiliko; beki ya Liva ni balaa tupu wakuu.
 
refa naona ameshakua influenced..game kubwa refs wazuri huwaga hawawi wepesi kutoa red cards
 
penati to Man U, naona azma ilishakuepio kitambo..kaz kwelikweli
 
maybe it is time team ziamue kujiondoa kwene EPL kama zilivofanya kwene league,upuzi at best
 
Ni kweli hakuguswa lakini ile obstruction ya mabeki wawili wa Liva ndio hiyo penati.
hakukuwa na penati AT ALL (camera have revealed it)..english game is all about politics and SAF,.am sure this debate will stirr things up, kupendelewa kwa Man U hakujaanza leo
 
Maamuzi mengi katika matches za Man u timu kubwa huwa yanakubwa na utata.....

Hili suala linaharibu utamu wa EPL kwa upande wa Man U!!
 
Kwa kweli ni ushindi wa ngekewa tu kwa Man U ambayo muda wote wamekua wakichezewa robo uwanja hapa.

hkukuwa na penati..english game is all about plotics and SAF,.am sure this debate will stirr things up, kupendelewa kwa Man U hakujaanza leo
 
Suarez wa Liva amchachamalia refa kwa kufukia kuchezewa rafu dhhiri katika eneo la hatari la Man U.
 
kushinda tunashinda ila sijapendezeshwa na jinsi kikosi changu kinavyocheza: muda wote ni presha tupu.
 
Back
Top Bottom