Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Tukiwa tunajiandaa kwa mtanange kati ya Liverpool v Man U kwenye Barclays EPL siku ya jumapili keshokutwa tarehe 23 September kuanzia saa 9.30 alasiri, si vibaya tukafanya mapitio na kulinganisha mafanikio ya kihistoria kati ya clubs hizi 2 zenye mataji mengi between them kuliko club nyingine yoyote ya Uingereza.
Kwa kifupi, Liverpool ndiyo club yenye mafanikio makubwa zaidi kuliko Man U ukilinganisha jinsi trophy cabinets zao zilivyosheheni .....na ninaposema "trophy" nina maana ya "trophy" kweli, si mbao!!
Embu check hizi statistics hapa chini.....Liverpool wamewazidi Man U kwa mataji 3 zaidi (i.e 44 v 41).
Nawatakia Man U kila la kheri keshokutwa katika harakati zao za ku-play catch-up dhidi ya superiority ya Liverpool, hususani kwenye mataji ya UEFA!

Competition | Liverpool | Man U |
League titles | 18 | 19 |
FA Cups | 7 | 11 |
League Cups | 8 | 4 |
European Cup/Champions League | 5 | 3 |
Cup-Winners' Cup | 0 | 1 |
Uefa Cup | 3 | 0 |
Uefa Super Cup | 3 | 1 |
Intercontinental Cup | 0 | 1 |
Club World Cup | 0 | 1 |
Total | 44 | 41 |
Nawatakia Man U kila la kheri keshokutwa katika harakati zao za ku-play catch-up dhidi ya superiority ya Liverpool, hususani kwenye mataji ya UEFA!