Liverpool vs Chelsea: live stream

Liverpool vs Chelsea: live stream

Leo dawa ni kumvuruga Morinyo, tutangaze ubingwa Mapemaa. Najua ManShit yanatuombea mabaya lakini yatachemka na dua zao za kuku

YNWA!!!!
 
Watu wameshajipanga tayari barabarani...
ImageUploadedByJamiiForums1398598592.494642.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1398598632.565862.jpg

wanawasubiria vijana!!!!!
 
masakwinyooo LFC roho yangu mniachie .

wapigwe tuuu hao waropokaji watoka pabaya chelshit
 
Teh teh Ubingwa huo! Kesho public holiday ili kusheherekea ushindi.
 
BA ndio hivyo anawainua Chelsea .afu ni Kama Chelsea wanajua wanachofanya sna.
 
Leo dawa ni kumvuruga Morinyo, tutangaze ubingwa Mapemaa. Najua ManShit yanatuombea mabaya lakini yatachemka na dua zao za kuku

YNWA!!!!

hahahahaha................ unafikiri ubingwa ni nywele.
 
Back
Top Bottom