Liverpool hawana ujanja kwa United Leo

Liverpool hawana ujanja kwa United Leo

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
10,310
Reaction score
6,546
Mtanange wa kukata na mundu unataraji kupigwa kwenye theatre of dream baina ya United na Liverpool, mnamo mida ya saa kumi na nusu za alaasiri. United wana nafasi kubwa ya kushinda game hiyo kwa kuwa ipo nyumbani na pia ina mshambulizi hatari (RVP) anayeoongoza kuzifumania nyavu. Tayari kibabu Fergie ameanza vita ya maneno kwa kumuambia refarii Howad Webb amchunge kwa makini Mshambulizi wa Liverpool Luis Suarez kwa tabia yake ya kushika shika kwa mikono mpira na kujiangusha. Pia Fergie amesema haelewi Liverpool wapo nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi. Maneno haya yanawaathiri kisaikolojia liverpool hivyo kuwafanya wawe na papara wakati wa mchezo, hali itakayowafanya wapate kadi na kufungwa kirahisi. Ni mtizamo tu......karibuni
 
Kwa kifupi ni 3-1

Am waiting for it hata kwenye kikao cha harusi river side pale leo siendi.

Glory glory united.....
 
Huyo Suarez si ndo aliyemwita mchezaji mwenzie nyani? Mimi huku ataniitaje? Aku! Hela yangu bora niinunulie maziwa ninywe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Timu zote mbili zipo uwanjani zinapasha misuli

Kikosi cha Manchester United dhidi ya Liverpool. De Gea, Rafael, Ferdinand, Vidic, Evra, Carrick, Cleverley, Kagawa, Young, Welbeck, Van Persie.


Kikosi cha Liverpool dhidi ya Manchester United.Reina, Wisdom, Johnson, Agger, Skrtel, Lucas, Gerrard, Allen, Downing, Sterling, Suarez.
 
Back
Top Bottom