Liver na mbwembwe

Ni haki yao acha tu wafanye mbwembwe kwa kweli Uefa si mchezo.
 
kama Mungu alijua t ndomaana akaishia kuwapa kakombe kamoja...(30 years loading)
 
Kwa mpira waliocheza kwa kumtoa Barcelona, walistahili kushinda.
Acha wawe na mbwembwe aisee. Si kazi ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…