Bashiru yuko vuzuri sana
Mkuu leta updatesWanabodi,
Anazungumza sasa ni Dr. Bashiru..
Mambi ya Muungano na ukombozi
Anachaaaana ile mbaya.
Anaweza kukamatwa nje ya ukumbi.
Amewachana watawala kwa kutudanganya kwamba tumefungua tena ubalozi wa Israel kwa sababu ya watalii.
Amesema watawala semeni ukweli kama mnadhani Uzayuni wa Israel sio tishio tena, hali imebadilika, wekeni mezani tujadili!
Bashite....sorry...Makonda oyeeeeeSi aweke yeye mezani, y kusubiria anao washutumu!?
Si aweke yeye mezani, y kusubiria anao washutumu!?
Safi sanaBashiru yuko vuzuri sana