blackwoman
Member
- Jun 12, 2013
- 14
- 1
..
....Kamwe Shetani hawezi kutawala Dunia !!!!
Chadema ni Mpango wa Mungu
..
....Kamwe Shetani hawezi kutawala Dunia !!!!
Chadema ni Mpango wa Mungu
Niko uwanja wa mbauda sokoni watu wanazidi huku wakiwa wamependeza kwa kijani na njano kujaa kuna piki piki, magari na mabus mawili.
CCM nambari wani! hii kata ni yetu tu
ninapicha ila sijui namna ya kuziweka..
Hata mwivi humwomba Mungu pindi aendapo kubomoa nyumba za watu.
Ngulu Nchemba yupo?
Vijana wa Toyo wamepewa buku kumi ya mfukoni, kumi ya kuweka mafuta. Vijana wangu wamekwenda kupiga hela! Tshirt, kofia na bendera zitasalimishwa kwenye mkutano wa cdm kesho zichomwe moto uwanjani maana havifai hata kudekia!!
Hata mwivi humwomba Mungu pindi aendapo kubomoa nyumba za watu.
Hata mwivi humwomba Mungu pindi aendapo kubomoa nyumba za watu.
Hata mwivi humwomba Mungu pindi aendapo kubomoa nyumba za watu.
niko uwanja wa mbauda sokoni watu wanazidi huku wakiwa wamependeza kwa kijani na njano kujaa kuna piki piki, magari na mabus mawili.
Ccm nambari wani! Hii kata ni yetu tu
ninapicha ila sijui namna ya kuziweka..