Live: Uzinduzi wa Azam Sports HD, Channel 411 kwenye Azam TV

Acha upotoshaji azam hd ambayo inaonyesha laliga inapatikana kwenye kifurushi cha azam sports ambacho ni 15,000 tu.

Muwe mnasoma na kuelewa....
Ili upate hiyo La Liga ni lazima uongeze 15000
Kama ulikuwa walipa 30000 basi ongezea 15000 hapo
 
Umeelewa vibaya mkuu ,unaweza kulipia 15000 tu kwa ajili ya kifurushi cha azam sports ambacho kina azam hd.hawakulazimishi kulipia 30000 na hiyo 15,000 ni wewe tu ndiyo mwenye maamuzi.
 
bein sport hd unaipataje?

Wakuu bein sport HD dar haikamati, nadhani kama ingekama basi supersport ingekuwa marehem, ila kwa mikoa ya kaskazini, mfano mimi nipo Moshi basi na-premium package ambayo kwa mwaka mzima nalipia dola 250 tu, ligi zote hadi za mchangani, wana channel sport kama 20 hivi zote ni HD, kwa hyo wanaweza kuonesha ligi zote kubwa duniani ni choice yako tu....
 
Kama La liga tu bei imekuwa 45000 kama walipia play... basi EPL itakuwa na ongezeko la 100000

Ndio ulivyoelewa hivyo? Mwalimu wako alikuwa na kazi sana, umeambiwa ili kuona LA liga uongeze 15000 kwenye kifurushi chochote ulicholipia so kama umelipia kifurushi cha elf 13 unaongeza elf 15
 
Mimi nimeongelea kwa alielipia 30000.
 
Muwe mnasoma na kuelewa....
Ili upate hiyo La Liga ni lazima uongeze 15000
Kama ulikuwa walipa 30000 basi ongezea 15000 hapo

kwanza hakuna kifurushi cha 30000, me najua wameshusha to 25000. hivyo basi inakuwa 40000.
 
Mie kwangu hii chaneli 411 haipo na wala siioni toka jana nasikia tu inaongelewa ama mpaka niilipie ndo inawekwa make hats kwenye list kuu ya chaneli zao haimo kwangu ..msaada jamani.
 
Nililipia kifurushi cha 20000, je nitaiona Azam sport HD? Maana nilikuwa niki search inaandika service denied
 
ongeza TZS 15,000. yani kupata hiyo 411 pekee ni TZS 15,000 na hutapata chaneli nyingine za kawaida!
 
azamtv

Utaratibu wa jinsi ya kulipia na kupata kifurushi cha Azam Sports na chaneli zake kama Azam Sports HD pamoja na kubadili vifurushi kama unahitaji kifurushi kingine. Tunatoa tena maelekezo hapa, tafadhali yafuatilie kwa makini na utafanikiwa tu. Hii ni kwa wateja wa Tanzania tu.

Vifurushi vikuu vipo vinne (4) na Vya nyongeza ni viwili (2).
Vifurushi Vikuu ni; Azam Pure 12,000, Azam Plus 20,000, Azam Play 25,000 na Kihindi Pekee 16,000.
Vya Nyongeza ni; Azam Sports 15,000 na Kihindi cha nyongeza ni 6,000
Ili kupata Azam Sports HD, ni lazima uwe na kifurushi cha nyongeza cha Azam Sports cha shilingi 15,000. Kwa mfano kama una Azam Pure sasa hivi, jumla unatakiwa kulipia 27,000 (12,000 + 15,000 = 27,000 jumla). Ukiwa na Azam Plus (20,000 + 15,000 = 35,000 jumla). Ukiwa na Azam Play (25,000 + 15,000 = 40,000 jumla).
Ili kukipata kifurushi cha nyongeza cha Azam Sports, fuata utaratibu huu:
Kama hujafungiwa huduma na una kifurushi kikuu tayari;
1. Fanya malipo ya shilingi 15,000 na kisha piga namba *150*50*5#
2. Chagua namba 3, Sajili Huduma Mpya.
3. Ingiza namba ya smartcard.
4. Chagua namba 6, Azam Sports Add on 15,000
5. Baada ya hapo subiri dakika 5-20 utapata chaneli.
Kama umefungiwa kifurushi chako na unataka Azam Sports HD pia;
1. KABLA ya kufanya malipo, piga namba *150*50*5# kwanza.

5. fanya malipo ya jumla ya kifurushi chako kikuu na cha Azam Sports HD pia. Kwa mfano lipia jumla ya shilingi 27,000 kama ulikuwa una kifurushi kilichofungiwa cha Azam Pure na unataka cha Azam Sports pia. Yaani 12,000 + 15,000 = 27,000. Vile vile fanya kujumlisha ulichonacho sasa kama ni tofauti na Azam Pure.
6. Baada ya hapo subiri dakika 5-20 utapata chaneli.
Kama umefungiwa na unataka kubadili kifurushi cha sasa na kuongeza cha Azam Sports pia;

2. Chagua namba 2, Badilisha Kifurushi
3. Ingiza namba ya smartcard
4. Chagua kifurushi
5. piga namba *150*50*5# tena
6. Chagua namba 3. Sajili Huduma Mpya
7. Ingiza namba ya smartcard
8. Chagua namba 6 Azam Sports Add on 15,000
9. Fanya malipo ya jumla ya kifurushi chako kikuu na cha Azam Sports HD pia. Kwa mfano lipia jumla ya shilingi 27,000 kama ulikuwa una kifurushi kilichofungiwa cha Azam Pure na unataka cha Azam Sports pia. Yaani 12,000 + 15,000 = 27,000. Vile vile fanya kujumlisha ulichonacho sasa kama ni tofauti na Azam Pure
10. Baada ya hapo subiri dakika 5-20 utapata chaneli
Kama ulishalipia lakini unataka kubadili kifurushi kikuu, fanya hivi;
1. Unaruhusiwa kubadili kifurushi kikuu ndani ya siku mbili baada ya malipo kwa kuongezea tu malipo yako. Kama zimepita siku mbili, LAZIMA ulipie upya kifurushi hicho.
2. Kisha Piga *150*50*5#
3. Chagua namba 2, Badilisha Kifurushi
4. Ingiza namba ya smartcard
5. Chagua kifurushi

Last edited by a moderator:

MSAADA:
Nina kifurushi cha Azam play
NIMESHALIPIA 15,000 ya Azam sport channel sasa nikijaribu kupiga *150*50*5# ili kusajili huduma mpya Naambiwa sina salio la kutosha kukamilisha muamala
Ni tatizo la mfumo au hiyo namba *150*50*5# haijaanza kutumika?
 
Namba hiyo tayari imeshaanza kutumika, ulipolipa 15,000 kwenye Smart Card number yako Salio lilipaswa kuwa 15,000 ili ukija kwenye *150*50*5# uongeze tu huduma mpya ya Azam Sport HD. Jaribu tena kucheki Salio kupitia *150*50*5# na ikiwa lipo pungufu piga Customer Care 0764 700 222 kwa maelezo zaidi
 
Nyie endeeeni kujipa moyo Azam wataonyesha Epl na Uefa izo ni Ndoto. za mchana aisee labda izi ligi za mchangani ila co Epl na Uefa Ata amjiulizi tu Juzi tumeona dstv ka shinda Tena haki za kuonyesha Epl adi mwaka 2022 na apo apo Akashinda haki zs kuonuesha UeFa adi mwaka 2020
sasa Unataka niambia wakati Hakizamatangazo Zinatangazwa Azam tv alikuwa ajui ilo mpa Dstv akashinda haki tena inamaana aliwapiku wengine sasa kwaiyo nyinyi mtulie tu endeleeni kudanganyiwa toto na Vichannel vipya vya azam sport Mkidanganywa Azam atashinda light za epl na uefa mbele ya Dstv tusubirini mwaka 2020 na 2022 mtajishuudia Dstv wanavyo shinda tena light za kuonyesha ka tulivyoona hii juzi walivyo shinda
Epl sio kitu cha kukulikia kama mnavyo Zani Epl yahitaji Uwe umejipanga kipesa Muuulize Gtv alivyo kukuruka akaishia kufirisika. mi nachowaambia Akuna wa ku o defeat Dstv
 
Wakuu bein sport HD dar haikamati, nadhani kama ingekama basi supersport ingekuwa marehem, ila kwa mikoa ya kaskazini, mfano mimi nipo Moshi basi na-premium package ambayo kwa mwaka mzima nalipia dola 250 tu, ligi zote hadi za mchangani, wana channel sport kama 20 hivi zote ni HD, kwa hyo wanaweza kuonesha ligi zote kubwa duniani ni choice yako tu....
Mkuu mimi niko Arusha. Huduma hiyo ya bein sport nitaipataje? Natakiwa kununua king'amuzi chao au njia ni ipi?
 
Back
Top Bottom