johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,877
Kura zimeshapigwa na sasa zinahesabiwa stay tuned.
Wagombea ni wakili Askofu Dr Shoi na Askofu Keshomshahara
Mshindi ni lazima spate 2/3 ya kura zote.
Subiri hapahapa:
Askofu Dr Nusumshahara kapata kura 71
Askofu Dr Shoo kapata kura 144
2/3 ni kura 145
Uchaguzi unapaswa kurudiwa lakini kwa upendo Dr Keshomshahara anaondoa jina lake na hivyo Dr Shoo ametangazwa mshindi
Ukumbi umezizima kwa shangwe za furaha na sasa wajumbe wanamtukuza Mungu kwa kuimba nyimbo na kufanya sala!