Live Upendo tv: Wajumbe wa mkutano mkuu wa Kanisa KKKT wanapiga kura kumchagua Askofu mkuu wa Kanisa lao

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
35,134
2,000
Kura zimeshapigwa na sasa zinahesabiwa stay tuned.

Wagombea ni wakili Askofu Dr Shoi na Askofu Keshomshahara

Mshindi ni lazima spate 2/3 ya kura zote.
Subiri hapahapa:

Askofu Dr Nusumshahara kapata kura 71

Askofu Dr Shoo kapata kura 144

2/3 ni kura 145

Uchaguzi unapaswa kurudiwa lakini kwa upendo Dr Keshomshahara anaondoa jina lake na hivyo Dr Shoo ametangazwa mshindi

Ukumbi umezizima kwa shangwe za furaha na sasa wajumbe wanamtukuza Mungu kwa kuimba nyimbo na kufanya sala!
 

Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
4,544
2,000
Hivi kwa nini uchaguzi wa kiongozi wa KKKT mada zinaletwa kwenye jukwaa hili la siasa?

Au kila uchaguzi ni siasa?
 

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,232
2,000
Hivi kwa nini uchaguzi wa kiongozi wa KKKT mada zinaletwa kwenye jukwaa hili la siasa?

Au kila uchaguzi ni siasa?
Kwa sababu kkkt ilikua moja ya nguzo ya mgombea wetu ukawa,na Dk Shoo ni chadema mwenzetu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom