CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
- Thread starter
-
- #121
Hivi ni 4-1 au 4-2? Mandieta, nyosha mambo.
Full time.
Yanga4-1S.C.Villa.
Tunawasubili Azam kwenye ngao ya hisani.Ngoja tuwahi usafiri wa gomz.
Full time.
Yanga4-1S.C.Villa.
Tunawasubili Azam kwenye ngao ya hisani.Ngoja tuwahi usafiri wa gomz.
Pamoja Mkuu.Shukrani kaka mkubwa...
Hahah nimeona maana anajua kwenye ukweli uongo hujitenga...
Mmekopy na kupaste, hata hivyo hawa jamaa walikuwa wamechoka, mngeanza nao wako fresh msingefunga magoli yote hayo, subirini wana ice cream wawashikishe adabu kwenye ubao wa hisani.
Unasemaje? Ngoja nitafute rekodi kwenye mafile yangu nitarudi.Ilikua mwaka gani mkuu?
Maana S.C.Villa hajawahi kumfunga Yanga popote.
ndio hapo chacha...Full time.
Yanga4-1S.C.Villa.
Tunawasubili Azam kwenye ngao ya hisani.Ngoja tuwahi usafiri wa gomz.
Mombeki aka bhashaija!...
full timeMpira vp wakuu?
Mpira vp wakuu?
Mkuu Masuke usiandikie mate wakati wino upo.Unasemaje? Ngoja nitafute rekodi kwenye mafile yangu nitarudi.