Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

Live Updates:Yanga vs S.C.Villa leo tar 11.08.2013!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
943
Lazima mtu akae leo.
Goli 5 zinawatosha sana hawa wakuja.

Updates:
Dk 87.
Yanga 4-1 S.C.Villa
 
Mkuu jana hakukuwa na msisimko, subiria leo usikie maafa taifa.

Jana mechi ilichezwa kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili kilikuwa mahususi kupamba sherehe za Simba. Ngojeni ligi ianze mtakumbuka maneno yangu.
 
Na villa "wamewasaidia" simba kujiona wako fiti.

Na hivyo kuleta amani ya muda msimbazi. Rage hatari sana kwa fitna. Hakuna anayekumbuka kuhoji ajenda sita zilizorukwa maksudi mkutanoni. Kweli mwanaume simba amebaki bi Hindu pekee.
 
Na hivyo kuleta amani ya muda msimbazi. Rage hatari sana kwa fitna. Hakuna anayekumbuka kuhoji ajenda sita zilizorukwa maksudi mkutanoni. Kweli mwanaume simba amebaki bi Hindu pekee.

Aden badala ya kusikiliza point za bi hindu, aliamuru atolewe mkutanoni! Yule bibi amemuachia laana aden
 
Lazima mtu akae leo.
Goli 5 zinawatosha sana hawa wakuja.

Mkuu hawa Villa leo watakomaa sana, jiandae kupokea matokeo yoyote yale. Nimeangalia kwenye msimamo wa ligi yao walimaliza wa Nne baada ya kucheza mechi 30, kushinda 13, sare 8, kushindwa 9 na kujikusanyia pointi 47 hivyo siyo timu ya kubeza. Yanga tuingie kwa nguvu zote kama vile tunacheza na Azam. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Yanga Afrika.
 
Ilo lipo wazi mkuu, leo villa lazima watacheza tofauti sana na jana ili kuonyesha kuwa wanaweza, so upinzani utakuwa mkubwa sana kwa yanga, ila vijana wa jangwani nawaamini, hawatatuangusha, goli chache ni 5.
 
Nawatakia heri ya ushindi Villa japo leo wanauchovu, waichape Yanga (Analog) kichapo cha paka mwizi.
 
Nawatakia heri ya ushindi Villa japo leo wanauchovu, waichape Yanga (Analog) kichapo cha paka mwizi.

Hebu tembelea wavuti hizi: simba.co.tz na youngafricans.co.tz utajua wazi nani ni analog na yupi nh digital.
 
Mkuu ACCOUNT FULL nilikua njiani kuelekea taifa.Alafu naona leo mziki wa Yanga ni wa kutisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom