Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,975
- 13,146
Timu zinaingia Sasa uwanjani.
Duh mechi imekuwa Na amsha amsha mapema sana
Wamejipanga Na wamekamianaHii mechi Kali.
Mashambulizi matatu ndani ya dakika
Azam TV wana matatizo Sana mbona hawaoneshi mechi ya simba na mbeya city?
Hivi haioneshwi kumbe....!!!Azam TV wana matatizo Sana mbona hawaoneshi mechi ya simba na mbeya city?
mechi hiyo kesho...Azam TV wana matatizo Sana mbona hawaoneshi mechi ya simba na mbeya city?
Nashukuru nilijua leoWe dada mikia inacheza kesho
Jitie ujinga tu.Yanga piga hao lambalamba
Kabisa....!!!!Hii mechi wazee wa mafuriko lazima wapigwe
Mkuu nimetaarifiwa hapa kuwa hiyo mechi ni kesho.Hivi haioneshwi kumbe....!!!
Leo wanacheza wanaume wewe binti!!!Nashukuru nilijua leo