Pia kuna Kampeni anaifanya Gakumba ambaye ni Meneja wa Kagere kupitia vyombo vya Habari siyo nzuri kwa Simba. Wanasimba nawatonya mapema, Gakumba na Kagere hawaangalii maslahi ya Simba bali anachotaka Kagere acheze bila kujali anafunga au hafungi. Gazeti la Mwanaspoti chini ya Bumbuli linatumika kuchochea moto huu.
Pia Wanasimba mjue Gazeti la Mwanaspoti siku zote Front Page zake WINO MZITO LAZIMA uiongelee Yanga tuuu na kuna Mazito nyuma ya huu Mkataba ya Kinazi hivyo wakati mwingine tuwe makini nalo juu ya Uchochezi Maandazi.