Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
6,490
Reaction score
2,104
Live updates:

Simba 4-0 JKT Oljoro: FT
Ashanti 0-2 Mgambo Stg: FT

Key:
NS = Match Not Started
FH = 1st Half
SH = 2nd Half
FT = Full Time
 
Live updates:

Simba v JKT Oljoro: NS
Ashanti v Mgambo Stg: NS

Key:
NS = Match Not Started
FH = 1st Half
SH = 2nd Half
FT = Full Time

Pamoja sana mkuu,tutafuatilia hapa hapa na hasa ukizingatia kwamba leo Mnyama anatoka sare,hii ni kwa wale wote ambao hawaamini!!
 
Pamoja sana mkuu,tutafuatilia hapa hapa na hasa ukizingatia kwamba leo Mnyama anatoka sare,hii ni kwa wale wote ambao hawaamini!!

Hivi hawa jamaa, wako wapi? Hata kuanzisha uzi wameogopa. Wakitoka sare itapendeza sana, wakifungwa itapendeza zaidi lakini wakishinda itakuwa mbaya mno.
 
Live updates:

Simba v JKT Oljoro: NS
Ashanti v Mgambo Stg: NS

Key:
NS = Match Not Started
FH = 1st Half
SH = 2nd Half
FT = Full Time

mkuu wangu Makoye Matale, mimi bado nipo Tanga kikazi, nakutegemea sana kupata Live updates za uhakika kutoka huko, natumai bwana mandieta, watu8 na manguli wengine wa jukwaa hili watajumuika nasi!!
Mnyama lazima achinje mtu leo........OVER!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hawa jamaa, wako wapi? Hata kuanzisha uzi wameogopa. Wakitoka sare itapendeza sana, wakifungwa itapendeza zaidi lakini wakishinda itakuwa mbaya mno.
Inabidi tuwe tunawaanzishia kama hvi, wasije wakaanzisha alafu wakaususia! wanavyoadimika humu hata viwanjani ni hivyo hivyo!!
 
Leo hawa wanajeshi watajuta kuwa na timu nyingi kwenye ligi.
 
Hivi hawa jamaa, wako wapi? Hata kuanzisha uzi wameogopa. Wakitoka sare itapendeza sana, wakifungwa itapendeza zaidi lakini wakishinda itakuwa mbaya mno.
Kushinda kwamaana ya kuondoka na points 3 hiyo ni ngumu, labda washinde kutoka hasbuh hadi jioni au washinde na njaa.
 
Live updates:

Simba v JKT Oljoro: NS
Ashanti v Mgambo Stg: NS

Key:
NS = Match Not Started
FH = 1st Half
SH = 2nd Half
FT = Full Time
Pamoja sana mkuu, natarajia Updates za nguvu kutoka pande hizo, na Updates zako ndio siri ya Ushahidi wa JKT Oljoro.
 
Hivi hawa jamaa, wako wapi? Hata kuanzisha uzi wameogopa. Wakitoka sare itapendeza sana, wakifungwa itapendeza zaidi lakini wakishinda itakuwa mbaya mno.

Mkuu huwezi kuanzisha uzi wakati huna uhakika wa jambo unalolitaka!

Mashabiki wa simba sasa hivi ni sawa na wale wa man u,yani wao saivi kila mechi ni ngumu tu,wanaposhinda wanamshukuru mungu,wakishindwa basi wanabaki kuugulia!!
 
Back
Top Bottom