Live Updates: Vodacom Premier League Simba SC Vs Ndanda FC Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

Hao wa algeria waliendaje huko? Kama si kupitia ubingwa wa ligi kuu? Muwe mnatumia akili hata kidogo kuliko kuiacha mpaka inaoza bure tu. Ni mpuuzi anayedharau ligi kuu kama vile anaweza kwenda mashindano ya kimataifa bila ligi kuu au kombe la azam. Ukosefu wa akili kichwani
Msimu ujao watazurula sana kwenda songea, mtwara,singida, mbeya, shinyanga si wanajitoa ufahamu kua ligi kuu so chchte
 
Msimu ujao watazurula sana kwenda songea, mtwara,singida, mbeya, shinyanga si wanajitoa ufahamu kua ligi kuu so chchte
ili Simba awe bingwa ni lazima juhudi kubwa ifanyike nakumbuka miaka ya tisini walichukua wachezaji wote wa Pamba na mwaka huu Azam...Yanga msimu ujao anachukua ubingwa February si hapandi ndege ? mtakuja kuniambia#bringbackManji
 
Back
Top Bottom