Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
nafuu mkuu umesema maana hawanaga vigezo hao watu kaz yao blahblahHua sielewi ni vigezo gani wanatumia kisema barca ni forward tu au ni mazoea. ACHUKUE NA HII MSN 120 goals Juve 103 goals kwa msimu huu sio anaishia kusema pasipo takwimu.