Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

Wakuu,

Tutawaletea updates kuhusu chaguzi zitakazoanza katika kata za Elerai, Kaloleni, Kimandolu na Themi.
Bila kuweka ushabiki wa vyama, Jf Arusha tutawaletea kila kitakachokuwa kikijiri kwenye maeneo yote ya uchaguzi.

Muda huu nimepita maeneo ya Kaloleni, watu wameanza kupanga foleni kwenye ofisi ya mtendaji ya kata kwa ajili ya kupiga kura, naelekea maeneo ya Kimandolu ambapo ndiyo kuna wapiga kura wengi kulinganisha na kata zote za jiji la Arusha, ikifuatiwa na Elerai. Nitawajuza kila kinachojiri.

Kwa kuwaweka sawa wanaJf, tumeona Jf member Filipo atarusha mawe Kaloleni, Crashwise Elerai, Daudi Mchambuzi Themi, Arushaone, Mungi, Freedom Of Flag na Bahati1 watakuwa Kimandolu. malcom2, GanjaPlanter na olevaroya wakuwepo pia kutupia updates.

Mods tafadhali msiunganishe uzi huu na ule wa Taswira maana una mwelekeo wa siasa ya upande mmoja

MORE UPDATES!!!!
Kituo cha Shule ya Msingi Kimandolu ''A'' 1
CDM 64
CCM 34
Kura mbili zimeharibika

==== Updates ======
huku kwetu ELERAI tayari watu wako barabarani wakiongozwa na LEMA.
 
Congratulations makamanda. Mwaaaaaa!!!!
 
Jaman ya kwel aya nipo baa mie niendelee kufungua visibo jaman..? Muudumu lete tusker baridi
 
hahahaha sasa Jamani MEYA yetu yule wa kupandikiza hahahahahaha imekula kwao KINANA kajifariji na Tembo kule mbugani Siasa acheni
 
Wakuu,

Tutawaletea updates kuhusu chaguzi zitakazoanza katika kata za Elerai, Kaloleni, Kimandolu na Themi.
Bila kuweka ushabiki wa vyama, Jf Arusha tutawaletea kila kitakachokuwa kikijiri kwenye maeneo yote ya uchaguzi.

Muda huu nimepita maeneo ya Kaloleni, watu wameanza kupanga foleni kwenye ofisi ya mtendaji ya kata kwa ajili ya kupiga kura, naelekea maeneo ya Kimandolu ambapo ndiyo kuna wapiga kura wengi kulinganisha na kata zote za jiji la Arusha, ikifuatiwa na Elerai. Nitawajuza kila kinachojiri.

Kwa kuwaweka sawa wanaJf, tumeona Jf member Filipo atarusha mawe Kaloleni, Crashwise Elerai, Daudi Mchambuzi Themi, Arushaone, Mungi, Freedom Of Flag na Bahati1 watakuwa Kimandolu. malcom2, GanjaPlanter na olevaroya wakuwepo pia kutupia updates.

Mods tafadhali msiunganishe uzi huu na ule wa Taswira maana una mwelekeo wa siasa ya upande mmoja

MORE UPDATES!!!!
Kituo cha Shule ya Msingi Kimandolu ''A'' 1
CDM 64
CCM 34
Kura mbili zimeharibika

==== Updates ======

Gud makamanda.
 
Back
Top Bottom