Live Updates: Twiga Stars Vs Namibia

Haki ya nani walio pale mbele wanajua sana mpaka raha sana.Lalallallalalallalala dah bado kidogo tuone la 6.Tuwekeze kwa hawa mabinti jamani wana-potential.
 
Mwanahamis katengeneza magoli yote ikiwa ni pamoja na yeye kufunga mawili.......Safi sana
 
Inabidi tuwekeze kwenye hii timu kuliko ile ya wanaume, angalau hawa wanaonyesha kandanda safi
 
Hongera saana Twiga stars. Wadau wenye uwezo, isaidieni timu hii jamani.
 
Acha ushamba watu tuko kwenye burudani we unaleta masuala yako ya udini.shame on you
 
Mwanahamis ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....... Kamalizia na goli la tano... So mpaka mwisho Namibia 2 Twiga stars 5...
 
icje ikafika kwenye ile dozi ya 7dayz wakuu,du nadhani misaada yote ielekezwe kwao maana kwa matokeo haya ha2na ubishi
Yap mkuu...Wauzri sana hawa mabinti....Hii ni timu pekee ya soka nchini ambayo hutuwakilisha kwenye mashindano makubwa barani Afrika na mara zote hujitahidi...

Tayari timu hii imeshiriki AFCON ya wanawake, COSAFA ya wanawake(walialikwa) na All Africa games......Na nina imani mwezi Novemba watatupeleka Equtorial Guinea hawa....Cha msingi ni kuelekeza nguvu zote kwa timu hii,achana na habari za Taifa Stars ambao hawana faida yoyote kwa michezo nchini
 
Back
Top Bottom