ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Dah kweli huyu jamaa ni Amis Tambwe Magoli.gooooool....simba 1, ni hamis tambwe, dk 23
mvua inawapa sapoti...Dah kweli huyu jamaa ni Amis Tambwe Magoli.
dk 26, simba 1, ruvu 0.
mvua inanyesha mkuu..si unajua ikinysha mtani anashinda...Katachomolewa tu.
Dah kweli huyu jamaa ni Amis Tambwe Magoli.
Mkuu wangu huwa nakuaminia sana lakini kwa post yako hii mbona unataka kuniangusha, kwani Simba wanafanya mazoezi kwenye bomba la mvua. Au unamanisha zile imani zetu za wazee wetu?mvua inawapa sapoti...
hiyo ni imani zaidi mkuu...Mkuu wangu huwa nakuaminia sana lakini kwa post yako hii mbona unataka kuniangusha, kwani Simba wanafanya mazoezi kwenye bomba la mvua. Au unamanisha zile imani zetu za wazee wetu?