Simba wanaenda kupita mule mule Yanga walipoteleza.
Yanga kujibrand kama timu ya "wananchi" ilikuwa bonge la idea ila baadae kuja kusema hatuwezi kuitangaza nchi kimataifa mpaka tulipwe imeitia doa brand yao. Walijaribu kujirudi kwenye ile barua yao ila utetezi wao kuwa hawakuwa approached na wamiliki wa Visit Tanzania ni hoja isiyo na mashiko.
Simba wanaenda kuwaadhibu kwa kosa hili na kuwanyang'anya hoja ya kuwa timu ya wananchi.
Yanga ndio wananchi hawaitaji kuji bland popote, walio anzisha TAA, TANU, CCM, SIMBA, RED STAR n.k ao wote wametoka katika viuno vya Yanga.
Yanga ata isipovaa jezi zenye nembo ya Visit Tanzania, uzalendo wa Yanga kwenye nchi hii haupimwi Kwa jezi Bali kupigania uhuru wa Tanzania na nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Harakati nyingi za ukombozi wa kusini zilifanyika pale Jangwani.
Simba ilizaliwa baada ya baadhi ya waliokua wanachama wa Yanga kurubuniwa wajiondoe kwenye timu(Yanga) Ili kusaliti vuguvugu la kupambania uhuru wa nchi hii.
Wahindi na waarabu ambao walikua watawala baada ya Mwingereza na raia daraja la pili baada ya mkoloni(Mwingereza)walitumika kuwarubuni wanachama ao waliokua wa Yanga Kwa zawadi ya viatu baadae jezi Ili wajiondoe ndani ya Yanga na walifanikiwa.
Baada ya kufanikiwa kujiondoa Yanga wakapewa viatu vya kuchezea mpira na kuanzishwa timu Yao iliyayo itwa queen

Kwa kumfurahisha Mtawala mwingereza.
Yanga ndio nchi, Yanga ndio Wananchi, itabaki hivyo siku zote ndugu wasaliti mbumbumbu fc.