Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,288
Naam bila shaka, naomba tukutane tena katika muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo Azam FC akiminyana na Simba sc hivi leo.

Vikosi vya timu za AZAM FC na SIMBA S.C vinavyoanza leo;

Azam fc
__________________
1.Aishi Manula
2.Shomary Kapombe
3.Gadiel Michael Mbaga
4.Aggrey Morris
5.Pascal Wawa
6.Himid Mao
7.Salumu Abubakar
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu
10.Kipre Tchetche
11.Brian Majwega

Simba sc
__________________
1.Ivo Mapunda
2.Hassan Kessy
3.Mohamed Hussein
4.Joseph Owino
5.Juucko Mursheed
6.Jonas Mkude
7.Ramadhan Singano
8.Said Ndemla
9.Ibrahim Hajibu
10.Emanuel Okwi
11.Awadh Juma.

Naitakia kila la kheir timu ya AZAM FC inipigie hiyo mikia irudi msituni kwao walikozoea..

Mechi saa 10.00 Jioni.
 
Azam atajipigia mtu wake kiulani tu!!
 
Wawakilishi wa kimataifa wameishajulikana. Mechi za kukamilisha ratiba hii.
Azam Fc do the needful!
 
Vikosi vya timu za AZAM FC na SIMBA S.C vinavyoanza leo;

Azam fc
__________________
1.Aishi Manula
2.Shomary Kapombe
3.Gadiel Michael Mbaga
4.Aggrey Morris
5.Pascal Wawa
6.Himid Mao
7.Salumu Abubakar
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu
10.Kipre Tchetche
11.Brian Majwega

Simba sc
__________________
1.Ivo Mapunda
2.Hassan Kessy
3.Mohamed Hussein
4.Joseph Owino
5.Juucko Mursheed
6.Jonas Mkude
7.Ramadhan Singano
8.Said Ndemla
9.Ibrahim Hajibu
10.Emanuel Okwi
11.Awadh Juma.

Naitakia kila la kheir timu ya AZAM FC inipigie hiyo mikia irudi msituni kwao walikozoea..
 
Nasikia Aden rage ana mabasi mapya yapo TABORA,
Nahisi amewapiga sana SIMBA kipndi alipokuwa presidaa wa wekundu
 
Lichezwe soka tuone....mambo ya Myweather hatuyataki
 
Nasikia Aden rage ana mabasi mapya yapo TABORA,
Nahisi amewapiga sana SIMBA kipndi alipokuwa presidaa wa wekundu

Kwani fedha ya kuuzwa kwa Okwi alichukua nani....!?

Na ile pesa aliyopewa na Mhindi wa Yanga Fc, ili tu Twitte amwage wino Jangwani....!?

Jamaa alikuwa anakomba pesa za kutosha.. hadi anawasikitikia hawa mikia alafu akaamua kuwaita Mbumbumbu.
 
Wakuu mbona kwangu azam imekata? Nimewasha muda huu nianze kufatilia highlights naona inaandika access denied kulikoni??? Ni kwangu tu au kote???
 
Azam wanarekodi ya kuifunga Simba mara nyingi Ila Uzalendo kwanza , Japo kuwa najua mechi itakuwa ngumu Naitakia Simba Ushindi, Over.
 
Wakuu mbona kwangu azam imekata? Nimewasha muda huu nianze kufatilia highlights naona inaandika access denied kulikoni??? Ni kwangu tu au kote???
Umelipia hicho king'amuzi chako?!
 
Umelipia hicho king'amuzi chako?!

Mkuu nimelipia na muda mchache uliopita nilikuwa naangalia ghafla ikakata. Na haionekani hata chanel moja. Hadi ya matangazo. Duh naona navyoikosa mechi kali kama hii.
 
Back
Top Bottom