ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
goooool! kavumbagu katupia!
goooool! la 2, msuva!
kweli tupu mkuu!Oyaaaaaaaaa unafanya utani?!
Vp yanaweza tokea yaliowakuta wacomoro au..........!!!
...naam: ni dk 7
RUVU SHOOTING 0-2 YANGA SC
mkuu hayo magoli mawili ya haraka haraka, hayamaanishi ruvu wabaya...wanatengeneza nafasi hapa...corner kwa yanga..Huyu jamaa anafanya utani aiseeeeeeeee!!