Kwa miaka takribani 5 nyongo ya kufungwa na Simba imejaa miilini mwao pa kuitolea hakuna sasa wamebakia kualika vitimu vya daraja la kwanza sijui Mwadui, Toto kuja kuifunga Simba, wako mbona wameshindwa. Pumbavu.......Bora yanga afungwe na stand united kuliko kufungwa na simba chakushangaza sasa sikumbuki mara ya mwisho walipata raha hio lini. Itakuwa zaman eh😕😀
Data za kwenye vijewe vya kahawa hizi........Ukute huyu ndo anategemewa pale simba kwa ufahamu wa mambo ya soka. Ama kweli mambumbumbu noma.
Tuwekee mkuu tule uhondo...Yanga hata wafurahi mechi zote, ikifika ya Simba hali huwa hivi:
Kama ya kuongea yapo tufanyeje? Wakati Simba wanawahi kiwanja cha Maana Mjini yanga wakatupwa bonde la Jangwani kwa kuwa wanafahamika kwa uvuvi wa Kambale...Hahahahaaaa umeona eeh?Simba maneno kibaaaooo....
Tuwekee mkuu tule uhondo...
Watakuwa wamesharoga...Hawa wapo wengi Jangwani, nao huwa hivi:
kipindi cha kwanza mechi ya Prison utawakuta wamejazana humusimwoni Komeo Lachuma na demu wake Bantu lady maana hawa wanajidai wana mapenzi makubwa mahaba niue,mahaba niunguze,mahaba mahaba nitese, mahaba nikate shingo. bantu lady na wenzie simba ikishinda wanakosa pozi kabisa hawajui haya kwa simba ni mazoezi tu siku za huko mbele itakuwa boooonge la timu.