Simba ina viongozi wa ajabu sana,walimtoa Tambwe sijui kwa sababu zipi then wanamwacha Maguri pale...sioni uwezo wowote wa maguli zaidi ya kukimbia kimbia na hizo nguvu wanazosema sijui zipo wapi....simba haina viungo wazuri na haina washambuliaji wazuri zaidi ya Okwi nani mwingine....katikati akiumia Mkude na kidogo midfielder mmoja jina limenitoka Simba haina lolote...hakuna kulaumu kuhusu sare tunazopata bali hakuna usajili pale..wanakera na wanaboa.kombe lina miaka na miaka haligusi msimbaziNaelekea Uwanja wa Azam Complex Chamazi Kiuzalendo zaidi baada ya jana kumshuhudia Amis Tambwe akiwatoa kimasomaso wanajangwani
Naomba muendelee kutujuza matokeo ya hapa nyumbani pale Polisi Moro itakapopepetana na SIMBA
Naelekea Uwanja wa Azam Complex Chamazi Kiuzalendo zaidi baada ya jana kumshuhudia Amis Tambwe akiwatoa kimasomaso wanajangwani
Naomba muendelee kutujuza matokeo ya hapa nyumbani pale Polisi Moro itakapopepetana na SIMBA
Nafikiri macho na masikio vyote vielekee chamazi kwani wale wanaiwakilisha nchi.
Kila la kheri Polisi Moro, piga mikia hao washuke daraja.
Nimemiss kufungwa na YangaKila la kheri Polisi Moro, piga mikia hao washuke daraja.
Updates zitakuwepo kutoka kote kote Wakuu. Azam FC wameonesha uanamichezo wa hali ya juu, sina sababu ya kuizomea Azam FC kwa leo. Kila la heri Azam FC.
Kwa upande wa pili, mashabiki ya mikia yameshindwa kabisa kubadilika. Naitakia Simba kila la shari katika mechi yao ya leo na Polisi Morogoro.
Hapo kwa mikia nakubaliana nawe kwa asilimia zoote!
Polisi piga virungu kabisa huyu Paka mkubwa asiye na meno wala kucha!
Sare tu inatosha.
Nimemiss kufungwa na Yanga