Mbona fujo
yani kwenye bumbum best collabo ndo waliniacha hoi kwa upande wa vanesa kufanya kazi nao kumemsaidia kuwa nomineted ila dai collabo give him strength
wizkid mi ndo kaniacha hoi kaomba kura cku moja tu ila wengine wakiamka tu tangazo vote for me tz jiamini mwanaume kama wizikidayo au p square co kila cku matangazo click bio to watch click bio to vote whaaat #wizikidayo

Hayo yalikuwa maamuzi yakewizkid mi ndo kaniacha hoi kaomba kura cku moja tu ila wengine wakiamka tu tangazo vote for me tz jiamini mwanaume kama wizikidayo au p square co kila cku matangazo click bio to watch click bio to vote whaaat #wizikidayo
Yeah..
mkuu wimbo unaweza ukawa bora kwako, lakini kama haujafanya vyema kimataifa ni sifuri...
Kama wimbo ni mkali, ukipeleka kwenye vituo vya kimataifa utapokelewa, kama ni bora zaidi utafikia hatua ya kuchezwa kwenye charts zao.. Na ukikubalika zaidi ndio tunakuja kuona nominations za nyimbo bora n.k
Unapokuwa unahit from tthe start to the end of the year, unatoa nyimbo zinazokubalika, unafanya matamasha au performance zenye hadhi, video kali kiujumla kila kona ufanye vyema, tunakuja kupata list ya wasanii watano ambao ndio best male nominees na best female
Unapokuja kwenye suala la best live, kwanza kabisa wanaangalia unaperform wapi?? lazima uwe umetoa performance kwenye matukio ya kiheshima, unainfluence ya kuvuta audience, unanguvu ya kutosha unapokuwa kwa stage, dance moves, kuimba(japokuwa sio big deal iwe live-coz ingekuwa hivyo hata performance zao wangelazimu iwe hivyo)

Najuwa team haters mioyo inawaenda mbio kama mshale wa saa mbovu hahaha
Huyo kibakuli wenu hana lolote wala hafahamiki huku.. Diamond ndio msanii pekee ambae ametoa performance sehemu zote za muhimu tatu za mtv..
We tulia usubiri mama ntilie tour ya kibakuli, huku sio level yenu
na suala la kukusanya audience kwa hiyo davido na wizkid wanashindwa na dai kwa influence yakuvutia mashabiki hivi unamjujua wizkid au unamchukuliaje yule jmb acha ushabiki sema uhalisia #wizikidayomkuu wimbo unaweza ukawa bora kwako, lakini kama haujafanya vyema kimataifa ni sifuri...
Kama wimbo ni mkali, ukipeleka kwenye vituo vya kimataifa utapokelewa, kama ni bora zaidi utafikia hatua ya kuchezwa kwenye charts zao.. Na ukikubalika zaidi ndio tunakuja kuona nominations za nyimbo bora n.k
Unapokuwa unahit from tthe start to the end of the year, unatoa nyimbo zinazokubalika, unafanya matamasha au performance zenye hadhi, video kali kiujumla kila kona ufanye vyema, tunakuja kupata list ya wasanii watano ambao ndio best male nominees na best female
Unapokuja kwenye suala la best live, kwanza kabisa wanaangalia unaperform wapi?? lazima uwe umetoa performance kwenye matukio ya kiheshima, unainfluence ya kuvuta audience, unanguvu ya kutosha unapokuwa kwa stage, dance moves, kuimba(japokuwa sio big deal iwe live-coz ingekuwa hivyo hata performance zao wangelazimu iwe hivyo)
wizkid mi ndo kaniacha hoi kaomba kura cku moja tu ila wengine wakiamka tu tangazo vote for me tz jiamini mwanaume kama wizikidayo au p square co kila cku matangazo click bio to watch click bio to vote whaaat #wizikidayo
Kina sakafu hao, sahivi roho ti ti tiiiiNimecheka sana hii picha!