Dstv channel 322!
hv ile mtv base ya startimes haionyeshi!?
Itakua Saa Ngapi Kwa Saa Za East Africa? Maana Nacheki Mtv Kuna Kipind Cha "Mama 2015 Warm Up"
Dstv channel 322!
Naamini Diamond atarudi na mtumbuizaji bora hizi ni hisia zangu maana hizo category nyingine zimekaa vibaya sana.
Mkuu unadhan kutumbuiza (Best live) ni kukata mauno na kucheza kifua wazi kama wana maswezi jukwaani?