Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

Kaka mbona Barca walikuwa wanawachezea Chelsea nusu uwanja na still wakatundikwa?

Kama unaongelea magoli ya bahati au kuwalipa marefa brown Envelopes ni sawa lakini sio mpira. Tunafahamu Chelsea jinsi wanavyoshinda.
 
Tanzania haiwezi kwenda Brazili.Tulianza kushabikia suti badala ya kushabikia maandalizi.
 
Reactions: Izz
Bwana Kaka, acha kupaniki Barcelona wana-kuwa na mpira dakika zote 80 katika mchezo wa dakika 90 lakini wanafungwa, au umesahau Chelsea VS Barceloana 2012 ambapo Chelsea ilichukua ubigwa huku wakiwachia Barcelona wawe na mpira dakika kibao! Mpira ni mbinu.
 
Morocco puto limeshatoboka.upepo umeisha.yaani athletism tumewazidi kabisa!just somebody to be smart upfront there pleaseee Samatta pleaseee jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…