Tuondolee ukichaa Wako hapa
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
kwani rais wako kikwete alikuwaje mwaka 2005? Je na yule mgombea wa kudumu wa chama cha waliberali vipi?Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
View attachment 95924
kumbe kina baba wana zaa, kwikwii, je jk kazaa wangapi?Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
Zama zake zimita ndo basi tena.Naamu salaam hii
Kutukana watu waliokuzidi umri sio siasa, ni utovu wa nidhamu. Utapinga lkn ujumbe umekufikia.Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Salaamu za utambulisho hapa zikiongozwa na bwana Tumbo
Tumbo anasema haki inaanza kupatikana pale ulipo