Baada ya kukamilika kwa mahafali ya CHASO ambapo Rai.s Dr. Slaa alitunuku nishani na vyeti kwa wahitimu 183 wa Wanachama wa CHADEMA, kwa takribani saa moja sasa Barabara za mitaa ya manispaa ya Morogoro zimefungwa kupisha msafara WA magari na maandamano ya kuelekea vilipo viwanja vya mkutano. Viwanja vya sabasaba vimejaa tangu saa saba. Nitaleta picha
Tuondolee ukichaa Wako hapa

Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Tuondolee ukichaa Wako hapa
wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Mzee anaweza we vipi si riziki?Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
Bunduki bila risasi yaua namna gani?Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.[/QUOTE
Imegulika kumbe ndo yenu na cuf mambo ya liberal.
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.