Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Acheni kuchafua dini zisizowahusu, kwani Mwezi mtukufu ni kwa ajili ya kufanya tafakuri ya kina , na Chadema wanafanya tafakuri kuhusu Taifa ,

Tatizo , unajifanya wewe ni muislam hebu andika aya moja hapa , nitakujibu yatakayofuatia
Unakila dalili za magonjwa nyemelezi ya viroba na ugoro,nani kakuambia mimi muislam? ebu wapeni fursa wanachama wenu wafanye ibada ya ramadhani kwa hizi siku 30.

 
mkuu mimi ni mwananchi wa kawaida tena mtoto wa mstaafu wa jumuiya ya africa mashariki! sio mlengo wa chama chochote kile cha siasa,ila napenda taifa langu tanzania
 
 
2015 Nchimbi hana chake hapa Songea Mjini, kwa upande wa Madiwani hapa Mjini tulishamaliza kazi!! Tunasonga mbele, haturudi nyuma kamwe.
 
Acha kejeli,watu wako serious halafu wewe unaleta mahoka,sio poa kabisa!
mkuu sijamkejeli mtu ila namuomba radhi kwa kuwa post yangu ilimvurugia ibada yake ya toba!sasa wapi nimeleta mahoka?nafikiri wewe unataka kunichonganisha tu na members wa humu ndani !then naona leo umenipania sanaaaa
 
mkuu mimi ni mwananchi wa kawaida tena mtoto wa mstaafu wa jumuiya ya africa mashariki! sio mlengo wa chama chochote kile cha siasa,ila napenda taifa langu tanzania
Hamsemagi ukweli,ila nadhiri huwa zinawasuta mpaka mnaonyesha muelekeo wa kazi zenu au kile mnachokifanya,ukishaonja nyama ya binadamu huwezi kuacha hata siku moja.
 
Sijakuelewa msingi wa kuitaja Syria na Misri,hapa ninazungumzia Tanzania na watanzania.
Usikimbie hoja, hao watanzania wamefanya nini cha kutoheshimu mwezi mtukufu. Syria na Misri ndio wameshindwa kuheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…