Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Hapo itakuwa kwaya zinapigwa na bibilia zinauzwa kwa kwenda mbele.Halafu huyu jamaa na jina lake hata haviendani Mungu amsamee bure kwani hajui atendalo.

halafu ukiambiwa mdini utabisha!!

yani watu kama nyie bora mfe tu kila kitu lazma uingize udini.
 
jamaa amewafunga kamba pinda yuko songea na mbowe nae aruhusiwe kuhutubia songea? yatakuwa ni maajabu
 
Karibu sana mh. Mbowe na m4c kusini, tumechoka kuwa na wabunge wapiga dili kwa huku kusini, tunataka Songea mjini, mbinga mashariki, magharibi, peramiho, namtumbo yote mwaka 2015 yatoke kwa magamba!
 
Hapo itakuwa kwaya zinapigwa na bibilia zinauzwa kwa kwenda mbele.Halafu huyu jamaa na jina lake hata haviendani Mungu amsamee bure kwani hajui atendalo.

mjitu mingine imechanganyikiwa hata haijui inazungumza nn
 
Mkutano utakuwa viwanja vipi? Nipo songea,nataka nikawape live updates + photos
 
Tunashukuru kwa ujio wako hapa Songea
 
Attachments

  • CDM!.JPG
    46.9 KB · Views: 1,140
Hapo itakuwa kwaya zinapigwa na bibilia zinauzwa kwa kwenda mbele.Halafu huyu jamaa na jina lake hata haviendani Mungu amsamee bure kwani hajui atendalo.

udini tu ndo mlionao uoni aibu bwabwa wewe
 
Wakuu.
Mbali ya ku-set agenda za masuala mbalimbali, kisiasa, kijamii na kiuchumi, ambayo CHADEMA inasimamia kwa ajili ya Watanzania,

Huo si ukweli, hivi nyie nani aliwapa hilo jukumu ? mie naona mnasimamia matumbo yenu tu.

Unakumbuka Mwenyekiti alipojiuzia mafuso mtumba kwa bei ya zaidi ya mapya?

Unakumbuka Slaa kajijengea jumba la kifahari Dar kwa fedha zipi?

Unakumbuka kuwa Slaa anamlaza mpaka hausgeli 5 star hotel kwa fedha zipi?

Unakumbuka kuwa huyo huyo Slaa ndiye kampa "mchumba" majukumu ya kusimamia matumizi yote ya chadema kwa "software" zake?

Hapo kuna kuwasimamia Watanzania? wacheni kupotosha umma.

cc. TUNTEMEKE, hamy D
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…