Mleta wataje na ye ameanza kuponda serikali ya sasa.
Kuna thread imeletwa hapa analalamika "Wanatumiwa tu " na hawanufaiki na
chochote.. ahadi waliahidiwa ni debe tupu ....
Aache kukufuru... Bila Serikali ya CCM yeye na Madansa wake wasingeijua USA ikoje; Lazima awachezee kokote wamempeleka sehemu asingezikanyaga yeye na Madansa wake... na kukaa hoteli swafi bila bughudha ya chakula; Malipo
Sasa nani masikini?
Anyway haina haja ya kubishana na msukule.
By the way... nakuja Arusha tukutane unikatie kitu kidogo basi au sio TAJIRI
NAni anakufuru ..
link hiyo hapo kamsome Diamond.
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/431400-diamond-aiponda-serikali.html
Na we unaushaidi gani ni Serikali inayowalipia wao kwenda nje ya nchi kupiga show??
Sio kweli, amezungumzia matatizo ya wakulima wa miwa kiwanda cha kilombero na mtibwa, migogoro ya wakulima na wafugaji, miundombinu ya barabara inayojengwa mkoani morogoro kuunganisha na mikoa mingine, katiba mpya na amani ya nchi...mwishoni kabisa ndio amezungmzia chadema..sala haiwezi kukamilika bila kumlaani shetani
usipomlaani shetani basi ujue sala yako haijakamilikaSema sala haiwezi kukamilika bila kumtaja muumba na anaetupa kuishi....Shetani ni kwa freemasons!
Mimi huwa ninajiuliza, hivi CCM wanapoitisha mikutano kama hiyo wanawaambia nini wananchi? Maana tangu watuahidi maisha bora kwa kila mtanzania mwaka 2005, hali yetu ya maisha imekuwa mbaya kuliko ya awali, sasa wakija kwa wananchi wanasema nini?
Wanawapa sababu za maisha kuwa magumu zaidi, wanawaambia wavumilie hali inarekebishwa au wanawaambia CHADEMA wamekwamisha utekelezaji wa sera za CCM? Na wananchi tuna nini cha kutufanya tuwaamini hawa watu ambao ndiyo chanzo cha umaskini wetu?
NI kwamba ulitegemea ataogea cha maana au uliskia vya maaana?Mi nilisikia vyote akiongea kimbea, na hakuna aliposhawishii ahta mwana CCM aliyekuwa nyuma yake hata aonyeshe kuridhia au hata kuchanganka kwa kumiskia kinana, sasa hata waliohudhuria wangevutiwa na nini? mzee alishaanza ulusinde alipoanza wapasha kuwa gwanada kitu gani, hata yeye alishavaa zamani na hata kama tunataka picture atazioyesha.Huu ni umbea tuu na mipasho hakuna kitu kwa mwanamumea, tena kiongezi wa lichama zee. Nahdani wewe ndio wale watu wa kusikiliza radio tanzania wakitangaza mechiya simba na yanga na kukuambi ni bonge la mechi, na ujinga miwngine.Wewe ndio unaamini usanii wa CCM.Kweli CCM wanamaliazana kw apropaanda zao za ujinga zaidi ya upinzani.Mbaya hata mibunge inayoona na kusikia huwa akili yao huwatuma kuamini uongo walioutunga wenyewe.mkuu katika hili napingana na wewe kinana ni noma speech yake ni kali na ameumbua mambo mengi sana tuache uongo jamaa kaongea mambo ya msingi.