Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,168
- 28,819
Watu wako njiani foleni, ngoja wafike nyumbani kazi ianze, asante sana androids!!! Tunapiga hadi usiku wa manane, si rahisi kujua aliye Tz, Marekani wala Ulaya!!! Wote macho tu na simu zetu na laptop!! Techolojia bwana!!!
Mkuu tunachapa kazi huku pembeni tuna phone zetu tunapata update...Raha sana..