live updates:Mbowe akihutubia wilayani mpanda mjini

live updates:Mbowe akihutubia wilayani mpanda mjini

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
878
kama kawaida makamanda,watu wamejaa sana katika viwanja vya kashaulili.mbowe anasubiriwa kutua na chopa. Chopa ndo limefika yupo lema,mnyika na mbowe,watuwanashangilia sana.mbunge wa mpanda mjini kakimbia mkutano,sasa ni zamu ya mwenyekiti wa kanda kuhutubia,lema anashangiliwa sana.Lema kapanda jukwaani na anashangiliwa sana.Anaanza kwa kusema kuwa arusha hakuna ccm.anawashangaa watu wa mpanda kwa kuendelea kukumbatia chama cha majambazi.anasema kuhusu zitto,kadi yake ipo mahakamani.amemuona kijana aliyezuiliwa na zito kugombea ubunge jimbo la pinda.anasema zambi kubwa duniani ni uoga.Anasema kama uliingia chadema kwa kumfuata zitto basi ondoka nae mkaanzishe chama chenu.anasema yeye arusha ni raisi.anasema zitto alikodisha bodaboda ili zimpokee kigoma,na wala sio wanachama.Kapanda mnyika,anashangiliwa sana.anasema pinda ni mzigo,pinda jimboni kwake wananchi hawamtaki,ameshindwa kuwatimizia yale aliyowaidi.anazungumzua kuhusu arfi,alipopewa umakamo mwenyekiti akusema kuhusu ubaguzi.
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!!!!!
 
Anamhutubia nani wakati wananchi wa mpada kawanyanyasia mbunge wao ni sawa na mtu anamroga mwanao halafu anakuja msibani kukupa pole huyu mtu hafai kabisa.
 
leta picha ccm watajinyongaaaaaaaaaa na kamasi wanafiki wakubwa...
 
kama kawaida makamanda,watu wamejaa sana katika viwanja vya kashaulili.mbowe anasubiriwa kutua na chopa.

Tuondolee propaganda zako we msukule Wa Mtei, Dj Mbowe na babu mlevi Wa gongo!, Weka picha tuoneeee, achana na blah blah
 
Halafu thread kama hizi hazina michango sana sikuhizi,sijui watu wamechoka.
 
Massm watakomwa mwaka huu, tokomeza hao. Nenda kamanda mboweeeeeeeeeee, tunakuombea fanaka na Baraka.
 
kama kawaida makamanda,watu wamejaa sana katika viwanja vya kashaulili.mbowe anasubiriwa kutua na chopa. Chopa ndo limefika yupo lema,mnyika na mbowe,watuwanashangilia sana.

Hakikisha kila tukio unaliripoti ukiwa kama kamanda wa Chadema kutoka Mpanda.
 
Halafu thread kama hizi hazina michango sana sikuhizi,sijui watu wamechoka.

Watu wako njiani foleni, ngoja wafike nyumbani kazi ianze, asante sana androids!!! Tunapiga hadi usiku wa manane, si rahisi kujua aliye Tz, Marekani wala Ulaya!!! Wote macho tu na simu zetu na laptop!! Techolojia bwana!!!
 
waliodhani cdm inatania inabidi wafikirie upya !

CDM ni mpango mwingine mkuu wangu, massm walijua mpango wao na ZZK utaimaliza CDM kumbe ndiyo kwanza inapaa!!! CDM ni zaidi ya kiongozi aliyeko pale, ni ya Tanzania maana tumashajua ndicho chama pekee cha upinzania maana vingine ni chumia tumbo tu na walishakubali ndoa na SSM ili wapate vyeo, ubunge wa viti maalum, uongozi wa pamoja na kadha wa kadha
 
CDM ni mpango mwingine mkuu wangu, massm walijua mpango wao na ZZK utaimaliza CDM kumbe ndiyo kwanza inapaa!!! CDM ni zaidi ya kiongozi aliyeko pale, ni ya Tanzania maana tumashajua ndicho chama pekee cha upinzania maana vingine ni chumia tumbo tu na walishakubali ndoa na SSM ili wapate vyeo, ubunge wa viti maalum, uongozi wa pamoja na kadha wa kadha

mkuu hii OPD ni kiama cha ccm , hawana pa kutokea .
 
Chopa ndo limefika yupo lema na mbowe.

imagegif
imagegif
imagegif
imagegif
imagegif
imagegif
Masikini Dr Lilian Mtei.
 
Halafu thread kama hizi hazina michango sana sikuhizi,sijui watu wamechoka.

Thread yenyewe imeanza saa 16:57 angalia saa yako na sasa ni post ya ngapi!!???????? Hapa ni lazima kieleweke!!! Na zote za leo kuhusu operesheni pamoja kuna update hapa na zote zimajaa watu na michango. Sema tu siku hizi mods hawaonyeshi wanaotembelea au pia guests ndipo ungechoka mwenyewe. Tuko hadi kieleweke.
 
unaandika ubwabwa mwaka huu mtakimbiana tu ngoja zitto naye aanze mambo yake mtaisoma tu.

Hahaha kumbe Zitto ndio silaha mnayoitegemea kuimaliza Chadema.!?

Mmeshindwa kabla hamujaanza.!
 
Back
Top Bottom