Kama kawaida , tupeane taarifa za matokeo ya mechi zote za leo , leo mbeya sokoine mtibwa sugar atakuwa akipelekwa puta na Mbeya city , wapenzi wa Mbeya city twendeni tuipe sapoti timu yetu , najua wengi mtakuwa na hamu ya kuiona timu yenu na kuisapoti wapate matokeo mazuri . Mbeya city msiwaangushe mashabiki wenu.